Cameroon vs Chile live TV1

Dah! aisee goal limekataliwa na video assistant referee
 
GOOOOOOOALLLLL.
duh kweli hawa mizigo..
bahati yao ma linesmen wamewatetea..
 
Refa amewaonea Chile, goli lilikuwa halina makosa
 
duh mbona cameroon wanashambuliwa sana,tutashinda kweli!
ingekuwa mimi kocha ningeenda kwenye vyumba na bakora yangu ningewarushia vitu wachezaji wangu wa cameroon ili wapate Akili.
 
Cameroon kama watoto waliobemendwa,wanarukaruka tu uwanjani,tushukuru halftime jamaa hawajatufunga yaani nilihisi leo tunapigwa 8,bora Ivory Coast au waarabu wa Algeria
 
Cameroon kama watoto waliobemendwa,wanarukaruka tu uwanjani,tushukuru halftime jamaa hawajatufunga yaani nilihisi leo tunapigwa 8,bora Ivory Coast au waarabu wa Algeria
ukiwaangalia wachezaji wetu wana kila kitu, warefu maumbo yao ni makubwa. Lakini wanashindwa kutumia vitu hivyo uwanjani.

Chile ni vidagaa lakini vinafurukuta sana uwanjani, wanaienyesha Mibaba mizima?
 
hiyo technology inaniudhi mpk sitaman kuangalia mech zijazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…