Cameroon vs Chile live TV1

Cameroon vs Chile live TV1

ilikua ni shambulio zuri sana lakini jamaa wa America ya kusini kama kawaida yao hawakuachi kama alivyofanya yule jamaa wa Uruguay kwa Ghana kule kwa Mzee madiba akageuka Golkipa na kudaka mpira uliokua unakwenda wavuni.
 
Naona kocha wa chile kaamua kumaliza nafasi zake za mabadiliko, maana kuna mchezaji naona anajiandaa kuingia.
 
Naweza sema cameroon wameonesha kubadilika sana kipnd cha pili...inavutia kutazama sasa!
 
kijana wangu Amevunja glas kwenye meza ilikua midadi ya kukoswa koswa. Haaaaaaaaaaaaaaaa. Mpira Burudani sana.
 
arturo vidallllllllllllllllllllllllllllllll kwisha habari yetu.
 
Back
Top Bottom