usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Sasa yupi tutamwamin hapa[emoji115] [emoji116]
2-2, ilikuwa moja kati ya mechi kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yupi tutamwamin hapa[emoji115] [emoji116]
2-2, ilikuwa moja kati ya mechi kali
2-2
2-2Wakuu hivi ureno na mexico ngap ngap?
Mkuu acha uongo kama hukucheki game bora ukae kimya tu. Samahani lakin kama nimekukwaza.
Hata chile hawako vizuri kiivo. Wanafungika tu.kameroon wamekosa mbinu za mchezo.
fatilia Mechi LIVE kati ya wawakilishi wa Africa Cameroon vs Chile sasa hivi kupitia TV1 Karibuni
Hivi wadau inaonyesha kila cku au Leo tyu????
Mkuu mie naiona kama mechi ya sale tu..maana hiyo tecnolojia ya video inaifanya mechi ibaki kuwa sale.Cameroon atagongwa hii game, ni suala la muda tu
Sale==== SareMkuu mie naiona kama mechi ya sale tu..maana hiyo tecnolojia ya video inaifanya mechi ibaki kuwa sale.