Cameroon yashindwa kufuzu fainali za kombe la Dunia

Cameroon yashindwa kufuzu fainali za kombe la Dunia

sawa lakini ni kichapo, haiondoi ukweli kuwa WAMEFUNGWA

Sent from my iDevice using Tapatalk
Acha ujinga mkuu, ushabik wako kwa Yanga usikufanye ushindwe kuwapongeza Uganda we mwehu
 
uganda si mwenzetu kabisaa... leo anaongoza kundi sisi tumezubaaaa tu na samatta wetu...

juzi tu kacheza mataifa africa sisi tunashangaa tu na anaweza akacheza world cup kama utani

Sisi bado tunanyoosha Nchi
 
Back
Top Bottom