Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawa lakini ni kichapo, haiondoi ukweli kuwa WAMEFUNGWAKichapo unakijua wewe,goli 1 mbona hata wao walifungwa?
Misri ana pointi 9Ninkweli waganda si wenzetu,jana wamepiga mpira mwingi sana ila hawaongozi kundi,jana walifungwa moja bila wana point 7 misri ana 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga mkuu, ushabik wako kwa Yanga usikufanye ushindwe kuwapongeza Uganda we mwehusawa lakini ni kichapo, haiondoi ukweli kuwa WAMEFUNGWA
Sent from my iDevice using Tapatalk
Ilikua hivi,,tunacheza mpira usio julikana..Hivi sisi ilikuwaje hadi hatupo kwenye makundi?
uganda si mwenzetu kabisaa... leo anaongoza kundi sisi tumezubaaaa tu na samatta wetu...
juzi tu kacheza mataifa africa sisi tunashangaa tu na anaweza akacheza world cup kama utani