Cameroon yatiwa adabu na Malkia wa Kenya katika muendelezo wa vichapo Afrika

Aah wapi.... Huyo kiwango chake kilikuwa kidogo akarudishwa huko kwa machui fc leopard... Vipi kahata yeye hana macho ya kuona uchawi... Nashangaa simba,yanga,azam zinajibebea wachezaji tegemeo toka timu zenu kubwa.. Hahahahahaha
 
Gor is the only East African team to ever lift that trophy so **** your ass.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee you're such a big fool.... Hivi ligi ya mabingwa Africa ni kombe la washindi siku hizi.... Hilo kombe la washindi caf walilifuta 2004 sababu linaongezea majeruhi tu wachezaji...Hata simba ilifika fainali pia kwenye hayo mashindano... Sisi huku hata hatulihesabii hilo kombe mfu...huko ulikuwa hukutani na Africa giants,unakutana na club za naija,Mali,Botswana n.k...Ndiyo mnajivunia hilo kombe 1987 hahaha....Vipi huku kwa wanaume,CAF champions league... Mmefika wapi.... Au mnataga na kutotoa tu...
 
Look at this fool.Huezihesabu kitu you don't have[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Look at this fool.Huezihesabu kitu you don't have[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo sasa nimekushika pabaya...usiwe unajidanganya na kudanganya watu... Nyie champions league hata confederation cup hamna chenu...Sisi huku hatuongelei hilo kombe japo timu yetu ilifika fainali....Yaani hata ukimuuliza shabiki akutajie rekodi ya simba atakutajia hizo za Champions league... Hiyo ya winners cup japo ni hatua kubwa zaidi(fainal) lakini wengi hawaijui....But kwenu huko mnatembea matumbo wazi mnajivunia winner's cup... See how you are generally backward.
 
Gor mahia ilichapa Simba 2-0 2018.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fool, even Fc Basel won against Manchester United,does it mean it is Bigger than Man U? Even Mbao fc hushinda yanga na Stendi united huifunga simba,
your gor mahai ia just an Armature club you cant compare even to Mtibwa Sugar FC
 

Mtu aliyeenda shule hawezi andika huu ujinga.
 
Fool, even Fc Basel won against Manchester United,does it mean it is Bigger than Man U? Even Mbao fc hushinda yanga na Stendi united huifunga simba,
your gor mahai ia just an Armature club you cant compare even to Mtibwa Sugar FC
Man U is a mid table team so spare me your stupidity. Bring Simba to Gor any day any time and it will be defeated without much energy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aliyeenda shule hawezi andika huu ujinga.
Acha unafik, huo upuuzi ndio swag zenu, kwenye vilabu vya soka Tz. Mimi nimerudia tu maneno ya Willis Ochieng, ambaye alichezea Simba baada ya kutoka kwenye klabu flani Denmark. Tena baada ya kusign contract aliambiwa aende akamuone 'babu'. Alisema kuna siku wachezaji wenzake wawili waliambiwa wakojoe uwanjani eti ndio wa'neutralise' uchawi wa timu nyingine. George 'Blackberry' Odhis ambaye alichezea Azam FC baada ya kutoka Finnland ndiye aliyelemewa na imani zenu za kishirikina na akafikia maamuzi ya kusepa hadi Kenya. Jamaa alipata wachawi wamekalia jezi za timu yote, wakifanya matambiko yao ya giza. 😀
 
Hongereni ila wanawake wenu wazuri...
 
Man I don’t believe in those shitty you are saying here,
What I know is Tz has the best premier League in EA and all the best players in Kenya dreams to be there because it pays well,ugandans too and beyond.
 


Naona mumeamua kukojolea uzi!!!! Back to the main topic, Its official .... the girls are through to the Olympics after beating Nigeria 3 - 0. 😉 😉 😉
 
For some reason the girls really like these Luhya tunes!!!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…