Cameroon yatiwa adabu na Malkia wa Kenya katika muendelezo wa vichapo Afrika

Cameroon yatiwa adabu na Malkia wa Kenya katika muendelezo wa vichapo Afrika

Aah wapi. Vilabu vyenu ndio huwa vinawafata wachezaji kutoka Kenya. Alafu baada ya muda wanarudi Kenya kwasababu ya uchawi. Kuna mchezaji kutoka Kenya ambaye alisema kwamba aliingia changing room akapata pamejaa moshi. Baada ya Moshi kutulia akaona wachawi wawili wamekalia jezi za wachezaji. Eti na hiyo ilikuwa klabu ya Simba, wabongo bana. [emoji1]
Aah wapi.... Huyo kiwango chake kilikuwa kidogo akarudishwa huko kwa machui fc leopard... Vipi kahata yeye hana macho ya kuona uchawi... Nashangaa simba,yanga,azam zinajibebea wachezaji tegemeo toka timu zenu kubwa.. Hahahahahaha
 
Gor is the only East African team to ever lift that trophy so **** your ass.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee you're such a big fool.... Hivi ligi ya mabingwa Africa ni kombe la washindi siku hizi.... Hilo kombe la washindi caf walilifuta 2004 sababu linaongezea majeruhi tu wachezaji...Hata simba ilifika fainali pia kwenye hayo mashindano... Sisi huku hata hatulihesabii hilo kombe mfu...huko ulikuwa hukutani na Africa giants,unakutana na club za naija,Mali,Botswana n.k...Ndiyo mnajivunia hilo kombe 1987 hahaha....Vipi huku kwa wanaume,CAF champions league... Mmefika wapi.... Au mnataga na kutotoa tu...
 
Aisee you're such a big fool.... Hivi ligi ya mabingwa Africa ni kombe la washindi siku hizi.... Hilo kombe la washindi caf walilifuta 2004 sababu linaongezea majeruhi tu wachezaji...Hata simba ilifika fainali pia kwenye hayo mashindano... Sisi huku hata hatulihesabii hilo kombe mfu...huko ulikuwa hukutani na Africa giants,unakutana na club za naija,Mali,Botswana n.k...Ndiyo mnajivunia hilo kombe 1987 hahaha....Vipi huku kwa wanaume,CAF champions league... Mmefika wapi.... Au mnataga na kutotoa tu...
Look at this fool.Huezihesabu kitu you don't have[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Look at this fool.Huezihesabu kitu you don't have[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo sasa nimekushika pabaya...usiwe unajidanganya na kudanganya watu... Nyie champions league hata confederation cup hamna chenu...Sisi huku hatuongelei hilo kombe japo timu yetu ilifika fainali....Yaani hata ukimuuliza shabiki akutajie rekodi ya simba atakutajia hizo za Champions league... Hiyo ya winners cup japo ni hatua kubwa zaidi(fainal) lakini wengi hawaijui....But kwenu huko mnatembea matumbo wazi mnajivunia winner's cup... See how you are generally backward.
 
Gor mahia ilichapa Simba 2-0 2018.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fool, even Fc Basel won against Manchester United,does it mean it is Bigger than Man U? Even Mbao fc hushinda yanga na Stendi united huifunga simba,
your gor mahai ia just an Armature club you cant compare even to Mtibwa Sugar FC
 
Aah wapi. Vilabu vyenu ndio huwa vinawafata wachezaji kutoka Kenya. Alafu baada ya muda wanarudi Kenya kwasababu ya uchawi. Kuna mchezaji kutoka Kenya ambaye alisema kwamba aliingia changing room akapata pamejaa moshi. Baada ya Moshi kutulia akaona wachawi wawili wamekalia jezi za wachezaji. Eti na hiyo ilikuwa klabu ya Simba, wabongo bana. [emoji1]

Mtu aliyeenda shule hawezi andika huu ujinga.
 
Fool, even Fc Basel won against Manchester United,does it mean it is Bigger than Man U? Even Mbao fc hushinda yanga na Stendi united huifunga simba,
your gor mahai ia just an Armature club you cant compare even to Mtibwa Sugar FC
Man U is a mid table team so spare me your stupidity. Bring Simba to Gor any day any time and it will be defeated without much energy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aliyeenda shule hawezi andika huu ujinga.
Acha unafik, huo upuuzi ndio swag zenu, kwenye vilabu vya soka Tz. Mimi nimerudia tu maneno ya Willis Ochieng, ambaye alichezea Simba baada ya kutoka kwenye klabu flani Denmark. Tena baada ya kusign contract aliambiwa aende akamuone 'babu'. Alisema kuna siku wachezaji wenzake wawili waliambiwa wakojoe uwanjani eti ndio wa'neutralise' uchawi wa timu nyingine. George 'Blackberry' Odhis ambaye alichezea Azam FC baada ya kutoka Finnland ndiye aliyelemewa na imani zenu za kishirikina na akafikia maamuzi ya kusepa hadi Kenya. Jamaa alipata wachawi wamekalia jezi za timu yote, wakifanya matambiko yao ya giza. 😀
 
Afrika kwa sasa hakuna wa kusimama mbele ya hawa malkia, walifumua Wamisri, wakawagaragaza Botswana, leo wamekanyaga kanyaga ya wenyeji Cameroon

======

Malkia Strikers players celebrate a point during their Olympics qualifier against Cameroon at  Palais polyvalent des sports (Paposy) Arena in Yaounde on January 7, 2020. PHOTO | SAMUEL GACHARIRA | NATION MEDIA GROUP
Malkia Strikers players celebrate a point during their Olympics qualifier against Cameroon at Palais polyvalent des sports (Paposy) Arena in Yaounde on January 7, 2020. PHOTO | SAMUEL GACHARIRA | NATION MEDIA GROUP

When Sharon Chepchumba’s spike flew past Christelle Nana and Ruth Bibinbe, the writing was on the wall. Kenya’s best performer of the night packed so much power on the ball and there was no way Cameroon’s libero Cathy Ambassa was going to dig that.

By the time the ball landed on court, Edith Wisa went on her knees and broke down in tears. Chepchumba raced past the first referee in celebration, one arm punching in the air and darted straight to the terraces where she embraced Kenya's team manager Mududa Waweru mid-air.

The drummists and dancers that had rallied the Cameroon team all night stopped cheering and one by one, the over 5000 fans started trooping out of Palais polyvalent des sports (Paposy) Arena. It dawned on them that the Olympics ticket was gone.

Kenya coach Paul Bitok had just delivered a tactical masterclass as his charges edged Cameroon 3-2 (25-16, 23-25, 25-21,23-25, 15-11) at the ongoing Tokyo Olympics qualifiers.

Every player stepped on court as Kenya came out victorious in a nervy five-set thriller at the fully packed Paposy Arena. The win takes Kenya’s tally to eight points and victory against lowly Nigeria will see the nine-time African champions return to the Olympics after 16 years regardless of the result between Egypt and Cameroon on Wednesday.

Cameroon have seven points and can only qualify if Kenya fail to pick maximum points against bottom-placed Nigeria on Thursday.


“Whenever we meet Cameroon it’s war, it’s not just a normal game. We remained calm all through and didn’t put our players under pressure. We had strong services which worked well for us since it prevented them from playing through the middle. Side block was going to be easy for us,” said Bitok.

“This win is important for me. I have now beaten both Cameroon men and women at home and I am proud of my players for giving me this win,” he added.

Qualifying for the Olympics was the ultimate goal when Bitok took over from Finnish coach Shaileen Ramdoo in August last year. Taking over a divided team, Bitok’s immediate task was to unite the team and he did that by winning the African Games title.

But this was a different task. Kenya had last played in the Olympics in 2004 and beating Cameroon was the only sure way of securing a return to the Summer Games.

After beating Egypt and Botswana, Kenya had set the stage for a decided against the hosts who had also seen off Nigeria and Botswana in straight sets.

Bitok recalled Noel Murambi to his first six for the first set and her experience did count. Kenya raced to an 8-5 lead in the first technical time out, which was increased to 16-7 at the second technical time out. The first set was secured at 25-16 but Cameroon regrouped for the second.

This one was closely contested, but Cameroon coach Jean Rene Akono reaped big from his decision to introduce setter Yolande Amana and Bibinbe. The pattern of the opening two sets was returned as Kenya won the third before Cameroon tied the set scores by clinching the fourth.

Trailing the fourth set 12-16 at the second technical time out, Bitok made a raft of changes that saw Gladys Ekaru, Joan Chelagat, Joy Lusenaka, Leonida Kasaya and Joan Chelagat all step on court.

“ All my players know that they have a role to play so when I realised we were going to lose that set so I had to rest my key players and prepare well for the fifth set. It’s a tactic that has worked well for me before so it's about experience,” said Bitok.

And the reward arrived in the tie-breaker. His first six, well rested and recovered, opened an 8-2 lead at the change of sides. Then Cameroon cut the gap to only three points at 9-6, but Kasaya made a side out and Malkia Strikers were unstoppable.


Wisa delivered the match point with a sizzling attack through the middle and then the star of the show Chepchumba delivered when it mattered most.

Source: Daily Nation
Hongereni ila wanawake wenu wazuri...
 
Acha unafik, huo upuuzi ndio swag zenu, kwenye vilabu vya soka Tz. Mimi nimerudia tu maneno ya Willis Ochieng, ambaye alichezea Simba baada ya kutoka kwenye klabu flani Denmark. Tena baada ya kusign contract aliambiwa aende akamuone 'babu'. Alisema kuna siku wachezaji wenzake wawili waliambiwa wakojoe uwanjani eti ndio wa'neutralise' uchawi wa timu nyingine. George 'Blackberry' Odhis ambaye alichezea Azam FC baada ya kutoka Finnland ndiye aliyelemewa na imani zenu za kishirikina na akafikia maamuzi ya kusepa hadi Kenya. Jamaa alipata wachawi wamekalia jezi za timu yote, wakifanya matambiko yao ya giza. [emoji1]
Man I don’t believe in those shitty you are saying here,
What I know is Tz has the best premier League in EA and all the best players in Kenya dreams to be there because it pays well,ugandans too and beyond.
IMG_2928.JPG
IMG_2833.JPG
 
olympics.JPG


Naona mumeamua kukojolea uzi!!!! Back to the main topic, Its official .... the girls are through to the Olympics after beating Nigeria 3 - 0. 😉 😉 😉
 
For some reason the girls really like these Luhya tunes!!!





 
Back
Top Bottom