Mfumo wa kiten
Mfumo wa kitengo cha intelligence nchini marekani hupima IQ ya mtu na si ufauru wa sekondari.Kwahiyo hakuna atakayeajiriwa kitengoni pasipokuwa na IQ kubwa hata kama ana Phd.Pia mtu mwenye tabia ya Extrovert kamwe hafai kwa kazi hii.
wale ni wapuzi au hata lissu mwenyewe sio mtu mzuri ndio maana aliwaacha wadungue sehemu za kijinga.lissu ana akili za vija themanini wa lumumba ukiwachanganya pamoja.Wale waliomdungua Mh. Lisu na waliomkwida Mh. Nape watakuwa kundi lipi kati ya Amateurs & professionals.?!
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikuwa nakusubiri mkuu mzee wa mizania.Acha kututisha wewe kila mahali wapo wapi? hamna hiyo na siwaogopi
Uko sahihi sana watu wengi hata hapa nchini kwetu wamepotea kwasabu ya kutokuwa makini, ni wapi azungumze nini, na wapi asizungumze. Dunia hii ni kuwa defensive all da time.Mi ndo mana huwa simwamini mtu hafu wengi huja na mada chokonozi kwenye group kwa malengo yake, nakumbuka nilisoma kisa cha CIA kumpandikiza muislamu mwenye msimamo Mkali kwenye msikiti na yeye ndo aliyekuwa ana plan ugaidi kumbe ni agent wenzake wakaenda kumshitaki nikajua hii dunia nikuwa makini na Ku angalia mambo ya kuongea ukiwa na watu unao wa fahamu na usio waelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yani mambo mengine ukiwa na watu usiowajua vzuri ni kuwa makini na kiasi loh, maana watu ka hao huwa wanapenda Ku provoke vi story eeeeh kuna mmoja alikuwa ana hyo tabia sasa nikawa namshtukia akawa anajiuliza nimefahamuje, alikuja kuwa best friend, ni vzuri kuwa makini kusoma saikolpji ya mzungumzajiUko sahihi sana watu wengi hata hapa nchini kwetu wamepotea kwasabu ya kutokuwa makini, ni wapi azungumze nini, na wapi asizungumze. Dunia hii ni kuwa defensive all da time.
Hahaaaa kweli kabisa wanaanza kuleta za kumchokoa Magufuli ili useme ya moyoni upotee, loh mi nilikuwa sifanyi CHOCHOTE, always nakuwa positive tu, maana niliona wanafatilia watu wanao comments negative mtandaoni wanakamatwa kimya kimya, bora JF fake ID's ndo mana sikuhizi watu hawa comment chochote, maana kupotea ni rahisi sanautawasikia.magufuli banaa.
Utawala wake mbovu kweli.
Kumbe wanangoja ufunguke wakuletee pira.
Mimi uwa nakaa kama sipo.mi mwenyewe FBI wa kujitegemea.
Extrovert huwa blah blah nyingi inahtaji mtu anayejielewa sana ila bongo ni virce versa etiMfumo wa kiten
Mfumo wa kitengo cha intelligence nchini marekani hupima IQ ya mtu na si ufauru wa sekondari.Kwahiyo hakuna atakayeajiriwa kitengoni pasipokuwa na IQ kubwa hata kama ana Phd.Pia mtu mwenye tabia ya Extrovert kamwe hafai kwa kazi hii.
Hawa nimekutana nao nikiwa chuo. Tena ndio wengi.Wengine washagraduate chuo, lakini utawakuta wamejiinroll kwenye chuo kingine kama first year!, Na uongozi wa wanafunzi wanagombea na wanakuwa msitari wa mbele kwenye mambo ya migomo wako front lakini wanafukuzwa wengine, wao wanasurvive
Mate..... Akikutana na visivyoeleweka, book...., Vinakuja visivyo elewekaacha umbea, unajua kwanini kaleta hapa?,hakuna jambo lijalo sehemu pasi na sababu,ukiona watu wasioeleweka wanafanya vitu visivyoeleweka jua wanatafuta kisichoeleweka.Hii nchi kipindi hiki imekaa kuwindana na kutishanatishana sasa utajuaje tunatishwa kiaina mkuu.
Moja ya hobbie zangu ni hizo . Kusoma watu.. na nimekuwa master kwenye hilo.inawezekana.... kama una tabia ya kuwasoma watu na machale... kuna mtu nilimuhisi na nikajua ni Intel kutokana na tabia zake mtu mwngne angeona kawaida but nilitia Shaka uongeaji wake, kupotea potea ghafla na kufosi uchangamfu
Wakati wa kuajiro huwa wanatangaza kabisa. Huwafuata wanafunzi vyuoni na kuwapa hamasa ya kujiunga.Mfumo wa kiten
Mfumo wa kitengo cha intelligence nchini marekani hupima IQ ya mtu na si ufauru wa sekondari.Kwahiyo hakuna atakayeajiriwa kitengoni pasipokuwa na IQ kubwa hata kama ana Phd.Pia mtu mwenye tabia ya Extrovert kamwe hafai kwa kazi hii.
Introvents personality ndio inapendeleqa sana sana. Maana hawa ni watu wa kimya kimya chini chini.Extrovert huwa blah blah nyingi inahtaji mtu anayejielewa sana ila bongo ni virce versa eti
They never show their face on public mate.., labda inapoitajikaWakati wa kuajiro huwa wanatangaza kabisa. Huwafuata wanafunzi vyuoni na kuwapa hamasa ya kujiunga.
Ila test yake ni ngumu sana kiasi kwamba 95 % ya wanao apply hufeli. Only asilimia 4 au 5 tu ndio hupita.
Na hao hupita katika mchujo mwingine ambao huwapunguza.
Na ni ngumu kumjua introvert tabia yake maana ni mkimya hata akifanya jambo humshtukii, extrovert mapepe sana waongeaji ni rahisi kuropoka siri, pia kwa kuongea sana kuna watu husoma tabia za mtu kwa kumsikiliza anavoongea ni rahisi kungundulika.Introvents personality ndio inapendeleqa sana sana. Maana hawa ni watu wa kimya kimya chini chini.
Officer hata Extrovert huwa wana hire maana sikila sehemu wahitajika wakimya..Introvents personality ndio inapendeleqa sana sana. Maana hawa ni watu wa kimya kimya chini chini.
Hizi peoples Ni makini Sana...... Wanaweza kukulazia S kumbe the whole meaning iko 8.Na ni ngumu kumjua introvert tabia yake maana ni mkimya hata akifanya jambo humshtukii, extrovert mapepe sana waongeaji ni rahisi kuropoka siri, pia kwa kuongea sana kuna watu husoma tabia za mtu kwa kumsikiliza anavoongea ni rahisi kungundulika.
Kuna mkimya smart na anaweza kujichaganya na kila rika na anabadilika kulingana na mazingira akiwa na wahuni ana act ka mhuni, ukimya wao ni mpana zaidi so, best option ni kuwa mfexibleOfficer hata Extrovert huwa wana hire maana sikila sehemu wahitajika wakimya..
Kuna location vivuruge wanaitajika sanaaaa
NA ndio upande wenye wakusanya information wengi.
Hizo pigo za ukimya kila mtu anaonekana mwenyeweee kumbe
Ni kweli kabisa mambo ya silence killer ni hatari sana yaniHizi peoples Ni makini Sana...... Wanaweza kukulazia S kumbe the whole meaning iko 8.
Take care na vivuruge wetuuuuuu
huyo sio informer ni beginer [emoji23]Wamemwagwa vijiweni kibao kama nyuki halafu utawakuta wao ndo wanachonga sana dhidi ya serikali, hususan kipindi kile cha maandalizi ya maandamano ya Mange!
Kwenye vijiwe vya wauza magazeti asubuhi na kwenye vijiwe vya shoe shiners wamejaa tele!
Wengine hawako professional kivile kwa sababu matendo yao huacha clue kwa raia
Raia nao hawana maana, wakishamjua tu hupeana taarifa kimyakimya kuwa mtu fulani informer, then kijiweni watu huanza kumchora tu movements zake, na ikishafika hatua hiyo hawezi kupata information za maana za kiintelijensia, labda azipike yeye mwenyewe kufurahisha wakubwa zake!
Hawakai na kitu rohoni lazima wakitoeNa ni ngumu kumjua introvert tabia yake maana ni mkimya hata akifanya jambo humshtukii, extrovert mapepe sana waongeaji ni rahisi kuropoka siri, pia kwa kuongea sana kuna watu husoma tabia za mtu kwa kumsikiliza anavoongea ni rahisi kungundulika.