Camouflagers na informers

Na ni ngumu kumjua introvert tabia yake maana ni mkimya hata akifanya jambo humshtukii, extrovert mapepe sana waongeaji ni rahisi kuropoka siri, pia kwa kuongea sana kuna watu husoma tabia za mtu kwa kumsikiliza anavoongea ni rahisi kungundulika.
Kuna watu ambao wanapepeta mdomo haswa lakini wakati mwingine wanapendelea kuwa alone. Hawa naona ndio atari zaidi
 
I don't know why but am easy to spot these fellas

Jr[emoji769]
Amani iwe nawe boss. Umenikumbusha kisa fulani hapo zamani. kuna watu nilikuwa nafanya nao kazi ofisi moja. Nikaja kukutana nao nchi fulani bila kutegemea na wao hawakutegemea kukutana nami katika mazingira yale. wakavumisha kuwa mimi ni spy na umbea mwingine juu.

Ili kulinda amani ya Moyo, ilibidi ni-resign. Kwenye utambuzi, hata mimi nakakipaji. useme uzee tu ndo unatibua mambo mengi...
 
Wale waliomdungua Mh. Lisu na waliomkwida Mh. Nape watakuwa kundi lipi kati ya Amateurs & professionals.?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomkwida Mh. Nape hawafiti kwenye amateurs wala professional...Ni vibaka waliopewa uhalali wa kumiliki/kutumia silaha. Kwa ufupi, kwenye Uongozi wa sasa kuna watu wamewekwa kwenye position fulani bila kupitia training na viapo fulani fulani. wapo kwa kusudio fulani...na wala siyo miongoni mwa hawa wasemwao.

On serious note: kuna mshikeli huko Jikoni kwa wambea/wazugaji. Last year Nilikutana na mzugaji mmoja wa kike kwenye hotel moja hapo Bongo nilivyokuwepo likizo. yaani hana vigezo kabisa. Hata dumu la lita 20 Hawezi kulinyanyua...Shame
 
Tupe story ilikuaje mkuu funguka
 
Sijakuelewa ulichomaanisha ila nimefurahia post yako. Kumbuka sikuongelea mambo ya ufaulu kwenye maandiko yangu.
Unaweza kufafanua kidogo?
Ufafanuzi ni kwamba nchini Marekani na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo wanaofata vizuri kanuni za kuajiri watu wa kitengo,yani ni wale tu wenye IQ kubwa na si vinginevyo.Na ndiyo maana hata ukiwa bar nchini Marekani huwezi kusikia mtu akijisifia kuwa yeye yupo kitengo.Ushahidi ni huu ufuatao;

Marekani hao watu wa kitengo wapo wengine wanaoshughulikia ujasusi wa kiuchumi,yani wanaenda nchi nyingine kwa lengo la kuchunguza namna ya kufanya ili nchi yao ipate uchumi mkubwa kwakupitia nchi nyingine.

Wakati viinchi maskini vimejikita ktk ujasusi wa kidola tu,huku uchumi ukiachwa pembeni,na ndiyo maana mikataba ya kijinga inasainiwa.Ikumbukwe watu wote wenye IQ kubwa hufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.
 
Ogopa sana enzi zile wanaitwa mabalozi wa nyumba 10, hawa walikuwa informer na watoto wao wengi wamerithi kazi za baba zao.
 
Nchi za Western uspy upo katika kulinda masuala ya nchi, lakini Nchi za mlengo wa ujamaa uspy upo katika kulinda kikundi cha watu haswa watawala. Ndo maana huku hizi kazi za ushushu watu wanarithi kutoka haswa kwa wazazi wao haswa baba, Ndo maana nchi za mlengo wa kuwalinda viongozi taasisi binafsi ya ushushu hazipo wakati kule magharibi Zipo tena katika nchi moja unaweza ukakuta zipo hata 3 na zinashirikiana vizuri na ile ya serikali
 
Sijakuelewa ulichomaanisha ila nimefurahia post yako. Kumbuka sikuongelea mambo ya ufaulu kwenye maandiko yangu.
Unaweza kufafanua kidogo?
Leo hii si jambo la ajabu kwa mtu ambaye wewe unaamini kuwa ni smart (kitengo, akili kubwa)Ukamuuliza swali lisemalo kuwa Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?Jibu atakalolitoa litakuwa hivi"Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9/12/1961" Hii si kweli,na haya ni mfano wa maswali yaulizwayo nchini Marekani ili kupima IQ yako kwa njia ya mazungumzo, ingawa pia wanapima IQ kwa njia ya mashine.Sasa jibu la swali hili ni kwamba;

Tanzania haijawahi kukosa uhuru,kutokana na Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar.Bali Tanganyika ndiyo iliyopata Uhuru mwaka huo.
 
They never show their face on public mate.., labda inapoitajika
Na kwa kutangazaaaa haijawahi tokea kwa chuo chochote, maybe watangaze as Kuna kampuni au taasisi inahitaji what and what and what etc
Angalia public recruitment wanayofanya CIA bro. Hata MI6. Vyuo vikubwa huwa wsnakuja mzeya.
And yes wale recruiters huonekana sura lakin c sura za watu muhim hawaonyeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…