Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Na ni ngumu kumjua introvert tabia yake maana ni mkimya hata akifanya jambo humshtukii, extrovert mapepe sana waongeaji ni rahisi kuropoka siri, pia kwa kuongea sana kuna watu husoma tabia za mtu kwa kumsikiliza anavoongea ni rahisi kungundulika.
Kuna watu ambao wanapepeta mdomo haswa lakini wakati mwingine wanapendelea kuwa alone. Hawa naona ndio atari zaidi
 
I don't know why but am easy to spot these fellas

Jr[emoji769]
Amani iwe nawe boss. Umenikumbusha kisa fulani hapo zamani. kuna watu nilikuwa nafanya nao kazi ofisi moja. Nikaja kukutana nao nchi fulani bila kutegemea na wao hawakutegemea kukutana nami katika mazingira yale. wakavumisha kuwa mimi ni spy na umbea mwingine juu.

Ili kulinda amani ya Moyo, ilibidi ni-resign. Kwenye utambuzi, hata mimi nakakipaji. useme uzee tu ndo unatibua mambo mengi...
 
Wale waliomdungua Mh. Lisu na waliomkwida Mh. Nape watakuwa kundi lipi kati ya Amateurs & professionals.?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomkwida Mh. Nape hawafiti kwenye amateurs wala professional...Ni vibaka waliopewa uhalali wa kumiliki/kutumia silaha. Kwa ufupi, kwenye Uongozi wa sasa kuna watu wamewekwa kwenye position fulani bila kupitia training na viapo fulani fulani. wapo kwa kusudio fulani...na wala siyo miongoni mwa hawa wasemwao.

On serious note: kuna mshikeli huko Jikoni kwa wambea/wazugaji. Last year Nilikutana na mzugaji mmoja wa kike kwenye hotel moja hapo Bongo nilivyokuwepo likizo. yaani hana vigezo kabisa. Hata dumu la lita 20 Hawezi kulinyanyua...Shame
 
Waliomkwida Mh. Nape hawafiti kwenye amateurs wala professional...Ni vibaka waliopewa uhalali wa kumiliki/kutumia silaha. Kwa ufupi, kwenye Uongozi wa sasa kuna watu wamewekwa kwenye position fulani bila kupitia training na viapo fulani fulani. wapo kwa kusudio fulani...na wala siyo miongoni mwa hawa wasemwao. On serious note: kuna mshikeli huko Jikoni kwa wambea/wazugaji. Last year Nilikutana na mzugaji mmoja wa kike kwenye hotel moja hapo Bongo nilivyokuwepo likizo. yaani hana vigezo kabisa. Hata dumu la lita 20 Hawezi kulinyanyua...Shame
Tupe story ilikuaje mkuu funguka
 
Sijakuelewa ulichomaanisha ila nimefurahia post yako. Kumbuka sikuongelea mambo ya ufaulu kwenye maandiko yangu.
Unaweza kufafanua kidogo?
Ufafanuzi ni kwamba nchini Marekani na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo wanaofata vizuri kanuni za kuajiri watu wa kitengo,yani ni wale tu wenye IQ kubwa na si vinginevyo.Na ndiyo maana hata ukiwa bar nchini Marekani huwezi kusikia mtu akijisifia kuwa yeye yupo kitengo.Ushahidi ni huu ufuatao;

Marekani hao watu wa kitengo wapo wengine wanaoshughulikia ujasusi wa kiuchumi,yani wanaenda nchi nyingine kwa lengo la kuchunguza namna ya kufanya ili nchi yao ipate uchumi mkubwa kwakupitia nchi nyingine.

Wakati viinchi maskini vimejikita ktk ujasusi wa kidola tu,huku uchumi ukiachwa pembeni,na ndiyo maana mikataba ya kijinga inasainiwa.Ikumbukwe watu wote wenye IQ kubwa hufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.
 
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari
Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo maalum.... Kutoa taarifa ambazo zitasaidia kubaini waovu na kuzuia hatari ama kulinda usalama wa nchi raia ama viongozi....
Hawa watu hutumika kwa namna tatu
1. Kutoa taarifa muhimu za kihalifu zinazosaidia kuepusha janga fulani katika jamii... Iwe la kiongozi ama jumuiya
2.Hutumika kuwajenga viongozi na propaganda za kukubalika kwa kiongozi fulani katika jamii
3. Hutumika wakati wa hatari ya usalama wa nchi,mipango ya mauaji ya viongozi, mapinduzi ya kijeshi, maandamano migomo nk
Ni aina ya watu wenye elimu na waliopewa mafunzo maalum juu na namna ya kuvaa uhusika fulani bila kujulikana, namna ya kuongea, kuripoti na kutoweka eneo la tukio bila kuacha alama yoyote na kujulikana uhalisia....

Mfano wa kwanza
Kiongozi mkubwa anapotaka kutembelea eneo fulani, wazugaji na watoa taarifa za siri hufika wiki moja ama zaidi kabla ya ziara rasmi... Hapa hujigawa katika makundi mawili
. kundi la kwanza ni la kusoma hali ya hewa kiusalama na kukubalika kwa kiongozi.. Mambo mabaya yanayotendwa na viongozi wa eneo husika na maoni ya wadau
. kundi la pili ni wazugaji. Hawa ni wana kitengo cha propaganda ili kuonyesha kukubalika, kuaminika na kuungwa mkono kwa kiongozi na imani juu ya wale aliowatembelea.. Hapa si ajabu kumkuta kiongozi anakula chakula mtaani kwenye banda fulani bila hofu, kunywa kinywaji kama dafu ama kula kitu kama karanga tunda nk... Wauzaji wa vitu vyote hivi ni watumishi wake waaminifu

Mfano wa pili
Nchi inapopitia kipindi cha mashaka kama maandamano usaliti na mapinduzi..
Hapa huangaliwa kwanza maeneo yenye ushawishi mkubwa wa jambo husika.... Ndipo hupelekwa timu ya watu maalum!! Mfano anafika mtu wa kawaida kwenye bar ya kawaida mtaani, ambapo pembezoni kuna kijiwe na bodaboda nk.. Huyu aliyeko bar anakuwa busy na simu na kinywaji chake... Hana story na mtu... Kisha anakuja mwingine mzugaji kama machinga, anajifanya anauza keyholders kwa bei poa sana na kama huna hela anakukopesha...
Bila kujua zile keyholders zina mawasiliano ya moja kwa moja na jamaa aliyeko pale bar

Mfano wa tatu
Hatari ya kuvamiwa kijeshi... Hapa ni pakubwa na penye mengi lakini wanawake warembo hutumika sana kipindi hiki... N kundi lingine ni wazugaji wanaojifanya ni wafanyabiashara wakubwa na watafiti wanaotaka kuwekeza ama kutafiti....
Yote kwa yote jihadhari sana na mikusanyiko yenye dhumuni la maandamano hasa ya kisiasa ama kupinga jambo fulani kitaifa... Ukiachana na wale askari wa fanya fujo uone wenye mabomu ya machozi na risasi za mpira, huwa kuna mdunguaji mmoja tu hatari sana kwa ajili ya kumdungua kiongozi ama walio mstari wa mbele... Kimbia jifiche....

Unaposikia kiongozi kafika mahali na watu fulani wamewajibishwa kwa haki, tambua wazi ni kazi iliyotukuka ya wazugaji na wafichua habari
Unaposikia maandamano, mgomo ama mapinduzi fulani yameshindikana jua fika kwamba kuna kazi kubwa imefanywa na hawa jamaa
ILA unapoona mojawapo kati ya hayo niliyotaja yamefanikiwa vizuri, basi hawa jamaa ama wamefeli ama wanekengeuka miiko yao..!
Kamwe usiwaamini hawa watu hata kama ni ndugu yako... HAWATABIRIKI...!



Jr[emoji769]
Ogopa sana enzi zile wanaitwa mabalozi wa nyumba 10, hawa walikuwa informer na watoto wao wengi wamerithi kazi za baba zao.
 
Ufafanuzi ni kwamba nchini Marekani na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo wanaofata vizuri kanuni za kuajiri watu wa kitengo,yani ni wale tu wenye IQ kubwa na si vinginevyo.Na ndiyo maana hata ukiwa bar nchini Marekani huwezi kusikia mtu akijisifia kuwa yeye yupo kitengo.Ushahidi ni huu ufuatao;Marekani hao watu wa kitengo wapo wengine wanaoshughulikia ujasusi wa kiuchumi,yani wanaenda nchi nyingine kwa lengo la kuchunguza namna ya kufanya ili nchi yao ipate uchumi mkubwa kwakupitia nchi nyingine.Wakati viinchi maskini vimejikita ktk ujasusi wa kidola tu,huku uchumi ukiachwa pembeni,na ndiyo maana mikataba ya kijinga inasainiwa.Ikumbukwe watu wote wenye IQ kubwa hufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.
Nchi za Western uspy upo katika kulinda masuala ya nchi, lakini Nchi za mlengo wa ujamaa uspy upo katika kulinda kikundi cha watu haswa watawala. Ndo maana huku hizi kazi za ushushu watu wanarithi kutoka haswa kwa wazazi wao haswa baba, Ndo maana nchi za mlengo wa kuwalinda viongozi taasisi binafsi ya ushushu hazipo wakati kule magharibi Zipo tena katika nchi moja unaweza ukakuta zipo hata 3 na zinashirikiana vizuri na ile ya serikali
 
Sijakuelewa ulichomaanisha ila nimefurahia post yako. Kumbuka sikuongelea mambo ya ufaulu kwenye maandiko yangu.
Unaweza kufafanua kidogo?
Leo hii si jambo la ajabu kwa mtu ambaye wewe unaamini kuwa ni smart (kitengo, akili kubwa)Ukamuuliza swali lisemalo kuwa Tanzania ilipata Uhuru mwaka gani?Jibu atakalolitoa litakuwa hivi"Tanzania ilipata Uhuru tarehe 9/12/1961" Hii si kweli,na haya ni mfano wa maswali yaulizwayo nchini Marekani ili kupima IQ yako kwa njia ya mazungumzo, ingawa pia wanapima IQ kwa njia ya mashine.Sasa jibu la swali hili ni kwamba;

Tanzania haijawahi kukosa uhuru,kutokana na Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar.Bali Tanganyika ndiyo iliyopata Uhuru mwaka huo.
 
They never show their face on public mate.., labda inapoitajika
Na kwa kutangazaaaa haijawahi tokea kwa chuo chochote, maybe watangaze as Kuna kampuni au taasisi inahitaji what and what and what etc
Angalia public recruitment wanayofanya CIA bro. Hata MI6. Vyuo vikubwa huwa wsnakuja mzeya.
And yes wale recruiters huonekana sura lakin c sura za watu muhim hawaonyeshi.
 
Back
Top Bottom