Wengi siku hizi wapenda sifa ni rahisi sana kuwajua hasa hawa vijana wadogo wanaopenda pombe na mademuUsimwamini mtu yeyote, zaidi ya wewe mwenyewe, wapo kila mahali, na ni ngumu kuwatambua. Chunga sana ulimi.
Hata muokota makopo simuamini.
UmetishaMie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
Kwanini unahujumu taifa? Rudisha memory card ya taifa.Mie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
Umewagundua wangapi?Wengi siku hizi wapenda sifa ni rahisi sana kuwajua hasa hawa vijana wadogo wanaopenda pombe na mademu
Alipataje namba yake ?Kuna huyo mmoja kipindi cha campaign status zake whatsap ilikuwa kila siku ni kumsifia Mzee wa CHAUMA tu, kuna siku nikaamua kureply kwa kumkandia Rungwe naye akaanza kumkandia JPM, nikasema hiiiiiii ungejua mie niko dakka 20 mbele usinge nizuga zuga hivi. Hajui kama nafahamu alivyo.
Nakuona unavyotanga tangaAlipataje namba yake ?
Mzee ni kwema? Umepotea sana!Nakuona unavyotanga tanga
Haina nembo [emoji23][emoji23]
Nilitarajia nikifika hapa nitakuta... Picha za hao... Makamafleji wenyewe kumbee[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Haina nembo [emoji23][emoji23]
Aisee....Mie niliwahi kukutana na kamoja kanauza bar moja maarufu mkoa flani hivi bar hiyo ni kubwa na ina wahudumu wengi walembo nikiwa safarini nikamzoea bila kujua halafu nilikuwaga na mishe flani za kibiashara enzi hizo sasa nikawa naenda hapo bar mapema kabla ya mida ya wateja wengi nafika naagiza vinywaji nakunywa halafu niko busy na simu yangu muda wote na wateja wakishakuwa wengi nasepa.
Sasa nahisi aliona utulivu wangu akahisi nina biashara flani haramu au vipi maana siku ya nne tu alianza kunizoea akawa ananihudumia yeye na kilichofanya nimstukie ni miwani yake anayovaa muda wote ni "spy glasses" nikaanza kuhisi huyu ni nyoka alipoanza mazoea nikawa nampa ofer ya kinywaji halafu akiwa karibu yangu najifanya naongea na simu mara kwa mara tena kwa mafumbo hapo ndo nilifanikiwa kumvuta akajilengesha tukapanga nikamle siku moja baada ya muda wa kazi saa sita usiku akanipigia anakuja nilipomuelekeza akaja room nikamla kiroho safi bila yeye kujua kuwa nimeshamstukia usiku akawa anaingiza story za kunichimba kuwa nadeal na biashara gani nikamwambia mie huwa ni mganga wa kienyeji nina wateja wengi na hapo mkoani nilikuja kufanya zindiko kwa mfanyabiashara mmoja maarufu tuliongea mengi ila usiku nilipiga show ya kihuni(natumiaga vumbi la kongo)
Alipochoka sana alisinzia nikasachi mkoba nakutana na vifaa vya kurecord sauti pamoja na hiyo miwani yake ya spy kwa kuwa naijua vizuri nilifanikiwa kuchomoa memory card nikaificha asubuhi hajui kinachoendelea nikala mzigo tukaagana nikamuahidi kurudi pale bar jioni tena kumbe ndo safari nikarudi zangu Dom na line ya simu nikabadiri.
[emoji2][emoji2]hao viumbe hawana formula moja, kila sekta wapo na ni ngumu kuwagundua.
Mbona sivuagi mimi[emoji3]Vaa miwani utaziona kama zote
Nilikuwa sifahamu hili [emoji16]hao viumbe hawana formula moja, kila sekta wapo na ni ngumu kuwagundua.
ulikuwa hugundui hilo! lipi?Nilikuwa sifahamu hili [emoji16]
Hilo hilo....ulikuwa hugundui hilo! lipi?
Sawaaa mtaalamu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh basi mbovu