Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Wengi siku hizi wapenda sifa ni rahisi sana kuwajua hasa hawa vijana wadogo wanaopenda pombe na mademuUsimwamini mtu yeyote, zaidi ya wewe mwenyewe, wapo kila mahali, na ni ngumu kuwatambua. Chunga sana ulimi.
Hata muokota makopo simuamini.