Camouflagers na informers

Kolonya limeisha au ndio limelianzisha upya?
[emoji40][emoji40][emoji1][emoji1]Sisi Mungu anatupenda Sana,, Tuliaamini katika Maombi na tukafunga na kuomba na Mungu akasikia kilio cha Watanzania,,, Hii nchi ni tajiri,,, Watanzania Sasa tuchape kazi kwa kwenda mbhele na tulipe kodi. Tanzania Hoyee,, Barabara Hoyee,, Madaraja Hoyee,,
"Kuna mtu mwenye swali apa,,?"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc: Jiwe
 
,,,kwasababu ndani ya serikali sasa hivi hata mawasiliano, barua nyingine ni za siri,, tunatakiwa tukutane saa fulani, mahali fulani, agenda yetu ni hii na hii. Unakuta labda ma-DAS waandikiana hivyo au ma-DC au mwaziri au makatibu wakuu na ndio maana siri za serikali zinavuja,,
Government goes and paper,,
Saa zingine naingiaga huko yanayoongelewa unabakia unashangaa,,
"Rpc wa hapa yupo wapi,,,?"
 
Ila kuna kazi zina risk sana aisee,,,!!
Sasa kwa mfano akibebeshwa mimba na huyo muhalifu,, hii imekaa vipi hii,,!?
Upelelezi umekamilika, jamaa kishakamatwa na huyo bi-dada tayari kitambi,, haya nani analea mtoto!?
Wamefundishwa hawabebi mimba kiboya wale na hata wakibeba wanatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…