Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

mimi nilishuhudia kuna jamaa ALIKUWA ni bodaboda ananichukuaga home ananipeleka kazini na kunirudsha pia, ...kuna siku alitukanana na demu mmoja ivi ambaye alimtongoza mara kwa mara afu demu anachomoa, jamaa alimtukana sana na demu pia alimtukana hadi hatua ya kutaka kupigana lakin watu waliokoa hilo, sasa ikafika mida ya sa kumi na moja jion mana waligombana mchana, yule demu akaja na kikosi Cha watu, afu akakaa pembeni , wale jamaa waliokuja na Demu wakaenda kwa yule mshikaji bodaboda wakamshika wakasema wao ni police na wanataka wampeleke kutuoni jamaa aliomba kuoneshwa kitambulisho ili kuamini ni police lakini walimtia pingu na kumpeleka kwenye gari yao aina ya Alphad , wakaingia humo ndani baada ya mda kama dk5 Tukaanza kusikia makelele ndani ya gar watu wakafika milango ikafunguliwa na waliokuwamo ndani, .... ase wale jamaa walitoka wameiva wamechapwa balaaa kumbe jamaa alikuwa ni mwanajeshi siku zote hizo hakuna aliekuwa anajua, ...walipomfungulia pingu jamaa akawapakia kwenye hilo gari lao na kumbeba na demu.... sijawah kumuona huyo jamaa mpaka leo ase ...

hivyo naamini katika post yako
Hii muvi inaitwaje??
 
Mwanajeshi na aje achunguze uraini ngumu sana kaka
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] nimefuatilia hii thread mwanzo mwisho, nimecheka sana.
Siwezi kuandika mbinu za medani, ila hao madenti ambao huwa hawa graduate nimegongana nao sana. Hawezi kutoka bila kukamatwa somo flani ama kuwa na supplementary exam.
Oya kuna dada kasoma vyuo vyote UDSM , SUA ,IFM na saivi yupo S,AUT firt year nimesikia nmecheka sana.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 ndio hivyo bro. Wapo kila kona. Uwe makini sana pia na ma barmaid, unakuta kuna barmaid mkali sana na yuko njema kwenye kila nyanja, ila anazibua vizibo. Kisha unabaki unajiuliza, hivi huyu kakosa kazi hata ya u sekretari sehemu kweli?
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] nimefuatilia hii thread mwanzo mwisho, nimecheka sana.
Siwezi kuandika mbinu za medani, ila hao madenti ambao huwa hawa graduate nimegongana nao sana. Hawezi kutoka bila kukamatwa somo flani ama kuwa na supplementary exam.
Kuna jamaa... Yupo chuo tangu 2014 kila mwaka anadisco kumbe ana mambo yake
 
Uwe na kadi ya lumumba na cheti cha kuzaliwa cha bibi yako mzaa baba yako Shangazi yake mjomba wako ndiyo yule dada yako
Unaandika kama masihara, asipokuelewa atapuuza.
 
Sema kuna mwanangu anafundisha primary ila ni mwanajeshi na hafundishi shule ya jeshi sjui alikuwa kuwaje
Kawaida sana hiyo jiulize kuna wengine wamejaa bandarini,TRA wanafanya kazi za kiraia bila kujulikana na wengi
 
Kuna jamaa... Yupo chuo tangu 2014 kila mwaka anadisco kumbe ana mambo yake
Nilikuwa nafuatilia mashamba kwenye wilaya fulani huko ndani ndani Kwenda Ofisi za halmashauri miongoni mwa maafisa ardhi ni kijana ambaye mvaa buti
 
Ila kuna kazi zina risk sana aisee,,,!!
Sasa kwa mfano akibebeshwa mimba na huyo muhalifu,, hii imekaa vipi hii,,!?
Upelelezi umekamilika, jamaa kishakamatwa na huyo bi-dada tayari kitambi,, haya nani analea mtoto!?
Wanachomoa. Na wanakuwa wanajua. So most of the time wana round off all possibilities.
 
Back
Top Bottom