Camouflagers na informers

Raia wengi ni wajinga, all in all waliwashinda na hamkuandamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora ziwe rasharasha tu maana huu sio msimu wa mvua buradha Mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia wengi ni wajinga, all in all waliwashinda na hamkuandamana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Walidhamiria kurestisha in peace raia waliotaka kutumia haki yao kuonyesha hisia zao mkuu!

Katika hali ya kawaida unawaacha tu, maana kama kibano cha hali ngumu ya laifu nyote mnaisoma namba, hata kama wao wako njema lakini ndugu zao, hata vizazi vyao huko mbeleni navyo vitaathirika kwa mifumo kandamizi wanayokesha kuilinda!
 
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?

2. Wapi huchukua hayo mafunzo?

Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.

Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…