Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Nimekua na rafiki yangu kwa muda mrefu kidogo, bahati mbaya ni yatima.Nimesoma nae advance huko pomerini iringa. Alikua mtu wa kusoma sana novel,alikua na kipaji cha kushawishi mnoo, yani akikaa na wewe ukawa unaamini katika jambo flani,basi akianza kujenga hoja lazima mwisho wa siku unakubaliana nae,kimsingi ana sifa za kipekee sana,ni mkimya kama mimi, but ukimya wake nilikua nauona kama sio ukimya as ukimya tu! ila alikua kama ni mtu anaechakata vitu flani katika akili yake,ofcoz ni miongoni mwa watu wenye iq kubwa kuwahi kukutana nao,digrii yake kasoma sauti mwanza, na misimu yote akiwa anasoma pale nilikua nakutana nae sana tu, ingawaje kuna vipindi kadhaa naeza kuwa kwenye mihangaiko mikoa mingine ghafla nakutana nae stand, ukimuuliza anakwambia natoka kwa shemeji yako sehemu flan (mkoa).na kwakweli huyu bwana alikua mtu wa totozi sana. aliwahi kufanya field office mbili za mambo ya kisheria na mabosi wote wa office zile ni wanawake na alifanikiwa kuwanyanyua (Fu£$%&),nilikua namuuliza unawezaje kufanya hivyo? alikua ananijibu tu,ni kazi rahisi sana ,moja kati ya vitu vilivyokua vikinishangaza ni lifestyle yake,hakua mtu wa kupata shida ya kipato kabisa, nilikua nikimchunguza sana mienendo yake lakini sipati jibu. Baada ya kumaliza chuo mwaka mmoja mbele nakuja kukutana nae morogoro. akanipeleka kwake katika appartment flan ni mkabala na fieldforce morogoro, alikua vizuri sana. usafiri mzuri nk.nk nikamdadisi lkn majibu mafupi tu. kilichotokea baada ya hapo ni kwamba yule bwana hakutaka mawasiliano na mimi tena,ila ni baada ya kumchana kwa kumwambia nimekuelewa wewe ni nani. nikafuta na namba yake...
Hiyo ndio dawa yao, hawajui kudanganya, ila ndio hutamuona tena labda apende yeye.
 
Toka juzi nakupa taarifa kwamba juz nlvyoenda kwa trump white house ... Nlshtuka kukuta naye ni mwenzetu ... Akakuulizia nikampa ... Namba yako ... Alikutafuta ?!!
 
Mi ndo mana huwa simwamini mtu hafu wengi huja na mada chokonozi kwenye group kwa malengo yake, nakumbuka nilisoma kisa cha CIA kumpandikiza muislamu mwenye msimamo Mkali kwenye msikiti na yeye ndo aliyekuwa ana plan ugaidi kumbe ni agent wenzake wakaenda kumshitaki nikajua hii dunia nikuwa makini na Ku angalia mambo ya kuongea ukiwa na watu unao wa fahamu na usio waelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
utawasikia.magufuli banaa.
Utawala wake mbovu kweli.
Kumbe wanangoja ufunguke wakuletee pira.
Mimi uwa nakaa kama sipo.mi mwenyewe FBI wa kujitegemea.
 
Toka juzi nakupa taarifa kwamba juz nlvyoenda kwa trump white house ... Nlshtuka kukuta naye ni mwenzetu ... Akakuulizia nikampa ... Namba yako ... Alikutafuta ?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alinitumia tasavali nipigie eti
 
Mfumo wa kiten
Jemedari Mshana Jr lakini wenye fani yao wanakwambia tukio lolote lazima ibaki clue au alama, sema ugunduzi na utambulikaji unategemea mambo mawili, weledi na ufanisi wa watekeleza tukio pia uzoefu wa wafuatiliaji.
Mfumo wa kitengo cha intelligence nchini marekani hupima IQ ya mtu na si ufauru wa sekondari.Kwahiyo hakuna atakayeajiriwa kitengoni pasipokuwa na IQ kubwa hata kama ana Phd.Pia mtu mwenye tabia ya Extrovert kamwe hafai kwa kazi hii.
 
Sawa lakini vitu vingine mtu ukijua sio kuviachia vikiwa vizima vizima bhana
acha umbea, unajua kwanini kaleta hapa?,hakuna jambo lijalo sehemu pasi na sababu,ukiona watu wasioeleweka wanafanya vitu visivyoeleweka jua wanatafuta kisichoeleweka. Hii nchi kipindi hiki imekaa kuwindana na kutishanatishana sasa utajuaje tunatishwa kiaina mkuu.
 
Back
Top Bottom