Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya nani na nani?Jana alikula dafu, tukio limeleta ubishani mkubwa sana.
Katika nyuzi hii..... Comment #5 inaelezea jinsi watu wanavyoandaliwa, mpaka jamaa akawa muuzaji maindi.
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]Katika nyuzi hii..... Comment #5 inaelezea jinsi watu wanavyoandaliwa, mpaka jamaa akawa muuzaji maindi.
Je na kwa lililotokea kwa mkulu vipi!? Muuzaji madafu kaandaliwa pia ama!?
Katika nyuzi hii..... Comment #5 inaelezea jinsi watu wanavyoandaliwa, mpaka jamaa akawa muuzaji maindi.
Je na kwa lililotokea kwa mkulu vipi!? Muuzaji madafu kaandaliwa pia ama!?
Mimi pia nililishangaa saanaa aiseee!!! Bado natafakarii kuhusu muuza madafu,Hebu Angalia ulinzi WA Mzee wetu ulivyomkubwa vile, ndio anaweza kunywa Dafu LA mtu Asiemfahamu? Acheni utani, Yule muuzaji Na mnunuzi walijipanga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JF tunawazaga kwa fujooo mno.Hebu Angalia ulinzi WA Mzee wetu ulivyomkubwa vile, ndio anaweza kunywa Dafu LA mtu Asiemfahamu? Acheni utani, Yule muuzaji Na mnunuzi walijipanga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kala karanga,papai ashindwe dafu mkuu? Huo ulinzi ndio umefanya asiandaliwe mtuHebu Angalia ulinzi WA Mzee wetu ulivyomkubwa vile, ndio anaweza kunywa Dafu LA mtu Asiemfahamu? Acheni utani, Yule muuzaji Na mnunuzi walijipanga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kala karanga,papai ashindwe dafu mkuu? Huo ulinzi ndio umefanya asiandaliwe mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muuza dafu alijipeleka mnyewe wanauwezo wa kunusa wateja wao walipo hasa wakiwa ni watu mashuhuri! Yule aliyempokea Mh Mkt bilauri ya dafu baada ya kulinywa anaweza kufananishwa na mwandishi gani hapa nchini?