Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Camouflage na informers wapo wengi sana...

Haswa wengine utawakuta maeneo ambayo kwa hali ya kawaida mtu hawezi kuthubutu kuweka bishara ya kuuza vipipi na karanga eneo hilo...

Ningeyataja hayo maneno ila wacha niake kimya...


Cc: mahondaw
Unataka kuharibu ! Ukitoa siri utakuwa umeisaliti taifa lako
 
Unampa taarifa ulijuaje ndio kazi yake? Hata yeye ndio maana hakupenda kukubalia livee. Coz kazi zao hazifanywi kama ulivyofanya wewe.
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?

2. Wapi huchukua hayo mafunzo?

Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
 
Tuwanawasoma tu mnavyotiririka ,hii mada iko kwa kazi maalum kusoma upepo . maoni ya watu juu ya wanakitengo .
 
Naziomba hizo namba.
Hawa nimekutana nao nikiwa chuo. Tena ndio wengi.
Huwa mara nyingi wanakuwa vimbele front kwenye migomo na haki za wanafunzi.. ila wanapotea na kuonekana vipindi vya mitihani tu.
Mmoja wao ninzao namba zake mpaka leo.
 
Well said ,
Bora wanao kuja kwa habari njema sikuhizi hizi NGOs ndo malengo yao mi nilishangaa watu ni wageni wanajua Tanzania in details had makabila, hafu wanajifanya kutoa misaada, ndo nikajua Africa u maskini wetu hautakaa uishe wenzetu wanatumia ujasusi kuendekea kutukandamiza, na kutusoma madhaifu yetu then tunabaki tukishang'aa sharubu
 
Aliye sahihi[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Gold head attract gold things,and it is inborn not experienced. Tunawahitaji watu wa namna hii kuweza kutufungulia njia ili binadamu tujue tuendako nasio watu wakuchezewa hata kidogo kila taifa linawahitaji. (Hongera kwa mada tulivu).
 
Gold head attract gold things,and it is inborn not experienced. Tunawahitaji watu wa namna hii kuweza kutufungulia njia ili binadamu tujue tuendako nasio watu wakuchezewa hata kidogo kila taifa linawahitaji. (Hongera kwa mada tulivu).
[emoji121][emoji109][emoji123][emoji109][emoji123][emoji120]
 
Back
Top Bottom