Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Mfano wa kwanza
Kiongozi mkubwa anapotaka kutembelea eneo fulani, wazugaji na watoa taarifa za siri hufika wiki moja ama zaidi kabla ya ziara rasmi... Hapa hujigawa katika makundi mawili
. kundi la kwanza ni la kusoma hali ya hewa kiusalama na kukubalika kwa kiongozi.. Mambo mabaya yanayotendwa na viongozi wa eneo husika na maoni ya wadau
. kundi la pili ni wazugaji. Hawa ni wana kitengo cha propaganda ili kuonyesha kukubalika, kuaminika na kuungwa mkono kwa kiongozi na imani juu ya wale aliowatembelea.. Hapa si ajabu kumkuta kiongozi anakula chakula mtaani kwenye banda fulani bila hofu, kunywa kinywaji kama dafu ama kula kitu kama karanga tunda nk... Wauzaji wa vitu vyote hivi ni watumishi wake waaminifu

Jr[emoji769]
Daaa haya ni uhalisia Wa hali ya juu mana hata Jana niliona bro, ha ha ha
 
.
shati lake limeandikwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20200329-WA0086.jpeg

Jr[emoji769]
 
Mfano wa kwanza
Kiongozi mkubwa anapotaka kutembelea eneo fulani, wazugaji na watoa taarifa za siri hufika wiki moja ama zaidi kabla ya ziara rasmi... Hapa hujigawa katika makundi mawili
. kundi la kwanza ni la kusoma hali ya hewa kiusalama na kukubalika kwa kiongozi.. Mambo mabaya yanayotendwa na viongozi wa eneo husika na maoni ya wadau
. kundi la pili ni wazugaji. Hawa ni wana kitengo cha propaganda ili kuonyesha kukubalika, kuaminika na kuungwa mkono kwa kiongozi na imani juu ya wale aliowatembelea.. Hapa si ajabu kumkuta kiongozi anakula chakula mtaani kwenye banda fulani bila hofu, kunywa kinywaji kama dafu ama kula kitu kama karanga tunda nk... Wauzaji wa vitu vyote hivi ni watumishi wake waaminifu

Jr[emoji769]

Kama yule mama Polisi aliyemuuzia papai
 
Noted ,hivi Dr shika bado yupo... Watu wakadai nae alitumwa kuharibu mnada sijui na wafanyabiashara?
 
Yule ni kiboko aisee matukio yote ya vurugu anakuwepo sijui kahamishiwa wapi siku hizi

Kuna moja hiyo ilitokea ajali hapa mandela road saa nane usiku akawa na wale vibaka wa barabarani wakaiba na kuondoka halafu dakika chache akarudi kuzuia magari yasipite na kutafuta msaada wa kupeleka majeruhi hospital hapo ndo nilipo anza kumshtukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom