Can he/she take a bullet for you?

Can he/she take a bullet for you?

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,606
Reaction score
1,711
Kama hawezi hakuna upendo achilia mbali mapenzi hapo!
 
Kwani tunaishi Detroit?

We uliza kama atalelewa/nilea wakati wa ugonjwa ama ajali, mambo ya bullet hayana uhalisia.
 
Mhhhh.... MUNGU amekataza uuaji. Sasa hayo si MAPENZI Bali sijui nini vileee.
 
Hivi nimekukosea nini Lizzy, mbona huwa unakuwa mkali sana kwangu?

Companero hujanikpsea chochote, wala sikujua huwa nakuwa mkali kwako. . .kwanzia sasa hivi ntajaribu kuwa gentle!!!

Haya na wewe utuambie. . .utamlea mwenzio?
 
Companero hujanikpsea chochote, wala sikujua huwa nakuwa mkali kwako. . .kwanzia sasa hivi ntajaribu kuwa gentle!!!

Haya na wewe utuambie. . .utamlea mwenzio?

afadhali, moyo sasa umepoa...

sina mwenzangu wa kuleana...
 
Nilikuwa tayari kula shaba kwa ajili ya aliyekuwepo, sina hakika kuhusu atakayekuwepo

Nini kilikufanya uone kwamba uko tayari kufanya hilo kwa aliyekuwepo ambacho huna uhakika kama litakuwepo kwa atakayefuata?
 
aku! siwezi kabisa yanini kufa kisa mpnz tumekutania ukubwani kila mtu akiwa na meno 32 yote jah!
 
Back
Top Bottom