Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
aku! siwezi kabisa yanini kufa kisa mpnz tumekutania ukubwani kila mtu akiwa na meno 32 yote jah!
Cute ungezaliwa Mwitongo ungeolewa na Nyerere, biblia imetutaka kuuheshimu uhai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aku! siwezi kabisa yanini kufa kisa mpnz tumekutania ukubwani kila mtu akiwa na meno 32 yote jah!
Nilikuwa tayari kula shaba kwa ajili ya aliyekuwepo, sina hakika kuhusu atakayekuwepo
Hivi nimekukosea nini Lizzy, mbona huwa unakuwa mkali sana kwangu?
Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga?Yummy usinione. . .
Nanii anaoga ndio nikaona nijiachie hapa mpaka arudi.
Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga?