can killing of albinos suffice crime of Genocide?

can killing of albinos suffice crime of Genocide?

Mwana wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2008
Posts
1,003
Reaction score
85
Wandugu, hivi mauaji ya albino Tanzania, yanaweza kuwa na sufficient ingredients za kosa la genocide ambalo limo kwenye sheria ya mkataba wa Roma (ICC statute) ili wat wanaooganise au kuua albino wapelekwe the Hague; since they are only targeting a specific group of persons (though no evidence kwamba leong lao ni kuwateketeza wasiwepo duniani bali ni kutaka viungo vyao). just curious tulikuwa tunabishana na watu hapa wengine wanasema hii ni genocide.
 
hough no evidence kwamba
leong lao ni kuwateketeza wasiwepo duniani
bali ni kutaka viungo vyao)""".....JIBU LIPO HAPO HAPO
 
Hapana, genocide ni mauaji ya kuteketeza jamii fulani ya watu ili watoweke kwenye uso wa dunia, yaani unawachukia kiadi kwamba hutaki wawepo duniani, wanaowaua albino hawawachukii, ila wanawapenda kwa sababu wanaamini viungo vyao vitawapa utajili, kwa hiyo watapenda albino wawepo ili wao wajipatie utajili kwa kutumia viungo vyao.

Hence proved, this cant be genocide.
 
Back
Top Bottom