Can Men and Women Be Friends?

Mnakumbuka kinga lakini. maana gonjwa la ukimwi ni sawa na sodoma na gomora. unaangamia taratiiiiiibu.
 
Mimi ni kijana aliyeoa na mwaminifu kwa mke wangu. Cha kuchangaza ni kwamba nina enjoy kampani ya kina dada na nina marafiki wengi wa kike (nazungumzia marafiki na sio wapenzi).

Cha kushangaza ni kwamba watu wengi wanaoniona na marafiki wa kike hudhania kuwa ni wapenzi wangu.

Ningependa wanachama wa JF wajadili kama unaweza kuwa na rafiki wa jinisia tofauti, kiufupi kuwa na platonic relationship? ama huu ni mwanzo wa mambo mengine????
 
Possibly,yawezekana tena hiyo relationship inakuwa bomba zaidi endapo hakutakuwa na hisia za mapenzi but mapendo!!!
 
Kama una mwenzako basi hao marafiki zako wa jinsia tofauti wanaweza wakawa chanzo cha matatizo katika uhusiano wako. Lakini mwulize mwenzako, kama ana tatizo na wewe kuwa na marafiki wa aina hiyo na wewe kama unampenda, basi heshimu matakwa yake na kuacha huo urafiki.
 

tatizo ni kwamba ni wanawake wachache sana wanoweza kukuruhusu uwe na rafiki wa kike
 
tatizo ni kwamba ni wanawake wachache sana wanoweza kukuruhusu uwe na rafiki wa kike

Jamani kama Trust ipo wala sijali.Mimi kwangu Ruksa kwa Mr. Kuwa na marafiki wa kike maana na yeye ananiruhusu kuwa na marafiki wa kiume. Kitu cha muhimu ni wewe kujua mipaka/boundaries zako na pia ujue tofauti iko wapi kati ya hao marafiki na mumeo/mkeo. Pia mkiwa wa wazi kati yako na mwenzio kutakuwa hakuna kukuru kakara ndani ya nyumba.
 
kwani mkeo au mmeo hatoshi kuwa rafiki yako mpaka ukatafute wengi. how can you trust somebody under such situation it is not easily. just make your wife the best friend of you!! otherwise you will end up in trouble.
 
kwani mkeo au mmeo hatoshi kuwa rafiki yako mpaka ukatafute wengi. how can you trust somebody under such situation it is not easily. just make your wife the best friend of you!! otherwise you will end up in trouble.

I disagree with that, wakati mwingine kwenye marriage mnahitaji to have your own sets of friends different from his/her's. I agree on the bestfriend part, mumeo/mkeo ndio anatakiwa awe ur bestfriend. But marafiki pia muhimu, napata a lot of ideas kutoka kwa marafiki zangu wa kiume nikiziwakilisha kwa husband, we put them into action na ndio maendeleo yanapatikana hivyo coz hata yeye ananiletea idea kutoka kwa marafiki zake wa kike. Tatizo wabongo wengi akili ziko kwenye ngono ndio maana wengi wanaamini urafiki wa namna hii hauwezekani (people, we need to think outside the box)
 

...friends forever...

 

Post hii post ya ndugu MAMBO JAMBO mwaka 2008 imenikumbusha kitu fulani; tupeane uzoefu!!
 
Very possible bana mi ninaye na hata wife hakuelewa ila kaelwa kuwa we are very good friens na hata sijawazia kumvua hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…