Can Men and Women Be Friends?

Can Men and Women Be Friends?

Mimi binafsi mpaka sasa nina marafiki wa kike kama wawili hivi, mmoja kashaolewa na mmoja bado. Tunaheshimiana na uzuri ni kwamba nikiwa nimeishiwa pesa huwa ndio kimbilio langu la kwanza!

It is possible!
 
Well, it might be possible but, kwetu waswahili huo ni msamiati! Tena kuna mtu alisema humu kuwa wakisafiri wakikosa vyumba tofauti wanalala pamoja. Lazima mmoja wa hao awe na kasoro. Hainijii akilini eti mtu mwanamume na mtu mwanamke walale chumba kimoja na sio dada yake wala mama yake halafu wawe salama. Tusidanganyane hapa!

Masaki unasema unao wawili, na ukasema tena mmoja wao ukiwa na shida ndo unamkimbilia kwanza! Humkimbilii yeye unakimbilia financial status yake mazee. Kama ana mshiko zaidi ndo maana anamkimbilia! Believe me siku akitaka umrejeshee fadhila kwa kumsugua mgongo utafanya tu! si unataka mkopo!
 
Well, it might be possible but, kwetu waswahili huo ni msamiati! Tena kuna mtu alisema humu kuwa wakisafiri wakikosa vyumba tofauti wanalala pamoja. Lazima mmoja wa hao awe na kasoro. Hainijii akilini eti mtu mwanamume na mtu mwanamke walale chumba kimoja na sio dada yake wala mama yake halafu wawe salama. Tusidanganyane hapa! ...

Mangi, hakuna lisilowezekana,...

nishapiga mbonji chumba kimoja na rafiki yangu (demu), tena si mara moja wala mara mbili bila 'kudandiana'. hata paleanapokuwa keshakolewa na 'togwa', nilichukulia kuwa ni responsibility yangu kum care mpaka atapokuwa sober.

Kujizuia ni ushindi mkubwa kuliko kuvunja urafiki kwa 'fataki' ya dakika chache, ...na mpaka leo 'demu' ananipa 100/100 ya uaminifu! 🙂
 
kuna mara 1 tulisafiri pamoja tukakosa nafasi na kupata chumba kimoja chenye vitanda 2 tukalala pamoja,kila kitu ni akili yako tuu.

Kwa kuwa mlifanikiwa kulala chumba 1 endeleeni hivyo hivyo safari zote kwani sasa mmeprove kuwa nyie sio wapenzi ila ni marafiki wa kweli! Hata mwanapaa alifanikiwa siku 1 kucheza na mwanachui na aliporudi alimsimulia *****, unafahamu kilichofuata, utajaza.....
 
Mimi binafsi mpaka sasa nina marafiki wa kike kama wawili hivi, mmoja kashaolewa na mmoja bado. Tunaheshimiana na uzuri ni kwamba nikiwa nimeishiwa pesa huwa ndio kimbilio langu la kwanza!

It is possible!

Inabidi tufike mahala saa zingine tu-deal na kina dada kama wenzetu bila kuangalia sana jinsia yake.Mtu unaongea na mwanamke macho yako kifuani kwake au mapajani,tujaribu kuzuia matamanio yetu.
 
Nina rafiki wa kike tunafanya nae kazi watu wengi hawaamini kuwa sisi sio wapenzi,ni rafiki wa kawaida tunashauriana,taniana,kula pamoja na hata kuna mara 1 tulisafiri pamoja tukakosa nafasi na kupata chumba kimoja chenye vitanda 2 tukalala pamoja,kila kitu ni akili yako tuu.

ni kweli kabisa inawezekana mkawa marafiki bila kuwa na mahusiano ya kingono, personally ninao marafiki kibao tu wa kike ambao hata maiwaifu anawafahamu na hatujawahi kuwa na mahusiano ya kingono!
Kwa upande mwingine mazingira yanawezasababisha mkajisahau..kama hili la kulala chumba kimoja mhh! nina wasiwasi...hebu fikiria mmesafiri kwenda mufindi mkapata chumba kimoja kama mheshimiwa hapo juu, kutakuwa na usalama kweli? yataka moyo mno! mzee hebu kuwa mkweli...hukutamani tamani kidogo ila ukahofia kuharibu urafiki? sidhani kama ulipata usingizi sawia na nahisi unalaumu sana hiyo golden chance!!! samahani mzee mwenzangu...ila ikifika hapo nadhani itakuwa hadithi tofauti
 
Can men and women be "just friends," or is sexual attraction between the sexes always inevitable? According to Rabbi Shmuley, men and women can be friends with members of the opposite sex, as long as they follow certain rules. He talks about platonic friendship between the sexes and shares his ground rules for opposite-sex friendships outside of marriage.

If a person isn't married, Rabbi Shmuley says it's perfectly all right to have friends who are members of the opposite sex. Society has moved away from polarizing the sexes, and today, men and women work together, go to school together and should be able to be friends, he says.

Things are different if you are married, Rabbi Shmuley says. It is possible to have an opposite sex friendship, but you cannot compromise certain borders:

1) You can't go out to late night dinners together. You can have lunch together in a public place, but you should not order alcoholic beverages. "The embers of attraction really can grow in situations like that, and suddenly it's not so innocent, it's not just friendship anymore," Rabbi Shmuley says.

2) You can't take long drives or long flights with the other person, even if it's for work. "Even if you have to work with a colleague [of the opposite sex], there are still certain boundaries you need to preserve," he says.

3) You cannot place yourself in any situation where romance can grow. "Romance grows when people are alone; romance grows when people tell secrets," Rabbi Shmuley says.

4) You can't share secrets with a platonic male or female friend that you don't share with your spouse. "Because then you're sharing an exclusivity with a member of the opposite sex that you're not with your partner, and that can lead to a big no-no," he says.

5) You should not be friends with ex-lovers.

Nawakilisha.

Pretty, nadhani unatakiwa kuizingatia hii
 
Duuh-I had a bad experience.Nilimsaidia mke wa rafiki yangu kusudi warudiane na nilikuwa nikimuita dada na yeye akiniita kaka,kumbe loooh,akafikiri ushauri ninaotoa mimi ndio nilivyo,kosa ilikuwa kutamka kuwa "I will make sure you are happy" sikujua what happened tuna baby boy!

Fidel80 hebu soma hilo jina afu nenda kwenye maandishi yalotiwa rangi nyekundu na uhusishe na thread yako ya Wifi anataka kuvuruga nymba. Sipati picha
 
Yes theY can be friends. Ila hayo masharti yaliyotolewa ni ya kweli. Lakini cha ziada ni kuwa;

HUU URAFIKI UWE WA WAZI.

Yaani kama una urafiki na mke wa mtu, pamoja na kuweka mipaka aliyoweka huyo rabi, hakikisha mkeo pamoja na mme wa huyo rafiki yako wakike wanajua. Msifanye kuonana au kuwasiliana ikawa siri yenu. That's a recipe for danger.

Lakini tukumbuke kuwa mahusiano meengi ya kingono huanza kama urafiki wa kawaida. Baadaye shetani huingia (wengi tunasingizia shetani when we have done it).

Ujue tu kuwa, urafiki na opposite sex, who is not your spouse, or your relative, there is always a chance it will be romantic. Hakuna ujanja wala ufala hapo. It is chemistry. It is biology.

Kufuata hizo principle za rabi, na hii moja niliyoongeza, kunazuia shetani asikaribie.

Lakini ukijisifia eti ulilala naye siku moja chumba kimoja mkaondoka bila bila si ujanja. Mkirudia hiyo incidence mara nyingine, take it from me, mtaparamiana tuu.

Tume ona mengi. Marafiki wa karibu toka utotoni wanauana kwa kushikana ugoni. Tatitizo? hayo hayo ... aaaa rafiki yangu namwamini sana hata nikiosafiri yeye ndo huja nyumbani kumsaidia mke wangu kwa lolote.

Hata kama mnajuana, kama nilivyo sema hapo juu. Hata kama wake zenu au waume zenu wanajua huo urafiki, kulala chumba kimoja ni NUKSI. HATA KAMA HAKUNA NAFASI NAMNA GANI, HIVYO NI VISINGIZIO TUU.
 
ni kweli kabisa inawezekana mkawa marafiki bila kuwa na mahusiano ya kingono, personally ninao marafiki kibao tu wa kike ambao hata maiwaifu anawafahamu na hatujawahi kuwa na mahusiano ya kingono!
Kwa upande mwingine mazingira yanawezasababisha mkajisahau..kama hili la kulala chumba kimoja mhh! nina wasiwasi...hebu fikiria mmesafiri kwenda mufindi mkapata chumba kimoja kama mheshimiwa hapo juu, kutakuwa na usalama kweli? yataka moyo mno! mzee hebu kuwa mkweli...hukutamani tamani kidogo ila ukahofia kuharibu urafiki? sidhani kama ulipata usingizi sawia na nahisi unalaumu sana hiyo golden chance!!! samahani mzee mwenzangu...ila ikifika hapo nadhani itakuwa hadithi tofauti

Hichi kitu kilitokea mara 1 tu na kulikuwa hamna jinsi,sina tabia ya ku-share chumba na mwanamke asiye mke wangu na niliiweka hapa kuonyesha inawezekana na pia siwezi kumvamia mwanamke kwakuwa tupo chumba kimoja,naye pia nadhani alikubali kwa kuamini mimi ni mstaarabu.
 
Well, it might be possible but, kwetu waswahili huo ni msamiati! Tena kuna mtu alisema humu kuwa wakisafiri wakikosa vyumba tofauti wanalala pamoja. Lazima mmoja wa hao awe na kasoro. Hainijii akilini eti mtu mwanamume na mtu mwanamke walale chumba kimoja na sio dada yake wala mama yake halafu wawe salama. Tusidanganyane hapa!

Masaki unasema unao wawili, na ukasema tena mmoja wao ukiwa na shida ndo unamkimbilia kwanza! Humkimbilii yeye unakimbilia financial status yake mazee. Kama ana mshiko zaidi ndo maana anamkimbilia! Believe me siku akitaka umrejeshee fadhila kwa kumsugua mgongo utafanya tu! si unataka mkopo!

Kwenye red, babu hii kitu inawezekana sana tuu, nimeshafanya zaidi ya mara moja. sisi wengine tuna marafiki wa kike wengi kuliko wa kiume, sema nayo uwa inaleta mushkeli kwenye relationship(s) maana bibie naye anakuwa hana imani.
 
Nimeshawahi kuwa na best friend mwanaume, si unajua maana ya best friend! Tunashare stories,kusaidiana kimawazo/kiuwezo,kuwa partners kwenye hafla mbalimbali kama weddings maana tupo single wote na outingz zingine muda mwingine ila kila mtu alikuwa na mpenzi wake. Guess where we ended...ila we are still best friends mpaka sasa!..No harm
 
Ha ha ha ha It is not easy at all, trust me I have been there 🙂
 
Kwenye red, babu hii kitu inawezekana sana tuu, nimeshafanya zaidi ya mara moja. sisi wengine tuna marafiki wa kike wengi kuliko wa kiume, sema nayo uwa inaleta mushkeli kwenye relationship(s) maana bibie naye anakuwa hana imani.

Nimeshawahi kuwa na best friend mwanaume, si unajua maana ya best friend! Tunashare stories,kusaidiana kimawazo/kiuwezo,kuwa partners kwenye hafla mbalimbali kama weddings maana tupo single wote na outingz zingine muda mwingine ila kila mtu alikuwa na mpenzi wake. Guess where we ended...ila we are still best friends mpaka sasa!..No harm

mhhhhh acheni fiksi nyie watu
 
Yo Yo

fiksi gani tena mkuu?! hiyo ndo hali iliyotokea,nahisi hujawahi kuwa na best friend wa jinsia tofauti ndo ujue inakuwaje!? Jaribu

ubest gani mlale kitanda kimoja jamani lazima mikono itaanza kuitafuta ikulu iko wapi.....tujaribu mie na wewe
 
ubest gani mlale kitanda kimoja jamani lazima mikono itaanza kuitafuta ikulu iko wapi.....tujaribu mie na wewe

Actually umeniwahi, nilitaka kukwambia hivyo hivyo tuwe best friends ila siyo kwa siku moja halafu ndo utajua.
Ni hivi ndugu, unapokuwa rafiki na mtu fikira za mapenzi haziji siku hiyo hiyo ila siku zinaenda mmezoeana mpaka unaona huyu ni mtu wa karibu na anajua mambo yangu fulani pia tutakuwa wote tukiwa na muda, ghafla bin vuu wimbi la mapenzi linatanda. Mvuto kama wa sumaku unaujua?! basi mnakuja shtukia ndo hivyo tena.
 
kuna figa kali hata kama ni dada yako unamtamani sembuse uwe rafiki? itabidi nikutafute tuwe marafiki alafu niangalie how it works......nikishindwa kujizuia lets do it...achana na viapo
 
kuna figa kali hata kama ni dada yako unamtamani sembuse uwe rafiki? itabidi nikutafute tuwe marafiki alafu niangalie how it works......nikishindwa kujizuia lets do it...achana na viapo

Hakika hiyo goal utazidi isogeza mpaka uzeeke halafu watu wakushangae eti mechi uzeeni!.. ha ha
Nitafute mpaka unione, usije kuwa unachat na njemba bure!.Uchanganyikiwe
 
Back
Top Bottom