Can men ever just be friends with women

Can men ever just be friends with women

ki ukweli hata mimi huwa sikubali mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke
 
mie maona inawezekana kabisa and nine rafiki mmoja ambaye ni rafiki yangu for number of years.
may be i am ugly???i am not sure abt this.
 
mwehhhh siku hizi kuna vifaa vina fanya kazi kuliko huo mtwangio wa wanume :second:
AD, nothing beats the original device :lol:. on a related note, are there fake boobs and v---na for sale? i have always wondered that!
 
haifai kabisa....tena wanaume walitakiwa waishi peke yao sayari nyingine....kwanza waondoke....
Preta futa kauli yako, ni ya kuudhi na ni kinyume na kanuni za mjengoni....... Otherwise nitamwambia Sajenti nanihii akutoe nje :hat:





 
Pia mara ya kwanza nilikuwa nadhani haiwezekani....!

Ila nilijiuliza ga swali moja tu, ina maana kila msichana nitakae zoeana naye lazima niombe ile mambo??

Toka hapo nikaanza kuangalia kitu hiki kwa namna tofauti sana.
 
Preta acha hizo bana. Nikumbushe jana jumapili pale 'Arusha-Raha' ulikuwa na nani!
 
Last edited by a moderator:
Preta acha hizo bana. Nikumbushe jana jumapili pale 'Arusha-Raha' ulikuwa na nani!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naamini inawezekana ila ni ngumu mno kiasi cha kuonekanan kakama haiwezekani mie nina rafiki wa kiume kwa zaidi ya mika 6 sasa watu wanatusema kuwa tunalalana ingawa sie tunajua hatufanyi hayo lakini nimegundua tukiwa peke yetu, hasa mbali na nyumbani mwanamume ameshaanza kunitongoza!!! Na mimi kwa kweli 'tunaongea lugha 'moja sana nahisi ni rahisi kabisa kutembea nae!!!
 
it's quite possible ili mradi tu vigezo na masharti vizingatiwe
 
Back
Top Bottom