Ha ha ha haaaa,, hilo lina ukweli mkuu hata mimi kuna jamaa alinizukia hapa JF eti anataka kuwasiliana na mimi kwa simu, nikamwambia kiongozi tumalizane hapa hapa JF kama hoja tunaenda PM tunamalizana, mambo ya kuongea kwa simu tunawaogopeni nyie Kaunda suti!! Sasa kama watu watakupuuza shauri yao tusilaumiane!!Kwa taarifa yenu kuweni makini kunastaili mpya ya kusaka watu wa JF wanaohitajika kujibu tuhuma za uchochezi ... so be ware guys kwa wale wenzangu tulio jificha nyuma ya ID fake usije kumlaimu mtu ...
njoo PM kuna kz nitakupa ili upate 200k[emoji4] [emoji4] rubii acha hizo basiii
Sawa sawa mkuu, basi fanya umpatie..Nadhani hajakosea. Anaana biashara mdogo mdogo then anakua taratibu based na anachikifanya! Nadhani yuko njia sahihi.
Pasi na shaka. Ila nitahitaji kishika uchumba (collateral)Sawa sawa mkuu, basi fanya umpatie..
hahahahaha wahi kuzama PM boss..Pasi na shaka. Ila nitahitaji kishika uchumba (collateral)