Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ha ha ha haaaa,, hilo lina ukweli mkuu hata mimi kuna jamaa alinizukia hapa JF eti anataka kuwasiliana na mimi kwa simu, nikamwambia kiongozi tumalizane hapa hapa JF kama hoja tunaenda PM tunamalizana, mambo ya kuongea kwa simu tunawaogopeni nyie Kaunda suti!! Sasa kama watu watakupuuza shauri yao tusilaumiane!!Kwa taarifa yenu kuweni makini kunastaili mpya ya kusaka watu wa JF wanaohitajika kujibu tuhuma za uchochezi ... so be ware guys kwa wale wenzangu tulio jificha nyuma ya ID fake usije kumlaimu mtu ...