SAWA,PANGEKUWA PADUCHU!lakini hii kanuni ya maadili IKO SAHIHI!?!wazee wakujilipa tunasononeshwa sana na hiii kanuniπ
kwa hiyo UNGEIBA!nasema kweli kumwaibisha shetani.....cjawahi/kufikiri hata kumsachi mr lakini ningekuwa kwenye ctuation kama ya huyu mama kwa kuiokoa familia yangu ningefanya alivyofanya huyu mama......w
UNGEIBA?!
god forbid!........
kwa hiyo UNGEIBA!
ungepingana na kanuni ya kwanza ya maadili!....
nasema kweli kumwaibisha shetani.....cjawahi/kufikiri hata kumsachi mr lakini ningekuwa kwenye ctuation kama ya huyu mama kwa kuiokoa familia yangu ningefanya alivyofanya huyu mama......w
lakini ameiba!kuhamisha huwa hakufanyiki kwa mtindo wa kusachiana!........amefanya kitu chema yes/no!?hilo hamna anaejua!kwa mfano huyu mzee angekuwa na uwezo wa kununua nyumba nyingine unadhani huyu mama angeliweka wazi hili swala?unajua kuiba wewe? huyu kahamisha kilicho halali kutoka mfukoni kwa mume wake na kukifanyia maendeleo kwa ajili ya familia.....
Yeah! Ukiangalia sana, she was not stealing! Alikuwa anachukua fedha zake ambazo mwenzake angezitumia vibaya. Mnapooana mnakuwa kitu kimoja (Hope, pale msimbazi senta ilikuwa mada hii). Yaani mke na mme mnaunganishwa mnakuwa kitu kimoja. Sasa how can someone steal from himself? Ni kama kutoa hela mfuko wa kushoto ukahamishia wa kulia.
Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.
Nini tofauti ya Kuiba na Kuchukua kisicho chako?kwa hiyo UNGEIBA!
ungepingana na kanuni ya kwanza ya maadili!....
dhambi ni wizi kwa upande wa mwanamke!...na kutotimiza wajibu kwa upande wa mwanaume!
Hahaha! Kuna wanaume wengine wakiombwa inabidi mwanamke a keep distance! Mke akienda kazini kwa mmewe kudai haki, ujue tatizo jingine litazuka. Talaka!
duu ungekuwa karibu yangu cjui ningekupa nini leo hii....very well said!
lakini walau unajua pesa inakwenda wapi,pia unajua kuwa waifu anakusachi!imajini siku moja anaku-SURPRISE na bangalow anakwambia haya ni matokeo ya kukusachi!...πSijawahi kuona mke anamwibia mumewe! Ni sawa na kuhamisha hela mfuko wa kushoto kwenda wa kulia! Thats It! Mama alikuwa anachukua hela ZAKE! Kipato cha mme ni mali ya mke if yo knoo woram saying. Mi wife huwa anapekuaga wallet langu na kujisevia atakavyo ili mradi anibakishie za kutosha serengeti kadhaa na ndovu/taska kwa wapwa zangu. So long zinaenda kwenye matumizi SAHIHI, sioni kama kuna tatizo lolote!
hajafanya dhambi yoyote mama wa watu, dhambi ipo kwa huyo baba kwa kumfanya mkewe afanye ambacho hakutegemea/hakupenda kufanya....upo hapo?
lakini walau unajua pesa inakwenda wapi,pia unajua kuwa waifu anakusachi!imajini siku moja anaku-SURPRISE na bangalow anakwambia haya ni matokeo ya kukusachi!...π
Lakini ulikuwa una haki kutumia njia stahili za kwenda kudai haki za msingi kama kwenda kazini kwa Mr. ukawa unapewa nusu ya mshahara wa Mr. wako kuliko kumsachi mfukoni.
no difference!KUIBA NDO KUCHUKUA KISICHO CHAKO!haitajalisha umechukua cha nani!........Nini tofauti ya Kuiba na Kuchukua kisicho chako?
Mama akafanya dhambi amehamisha pesa mfukoni mwa Mr. bila lidhaa ya mwenye pesa hapo tayari dhambi inapotokea kwa nini ahamishe kwa kificho? tena anategea yupo bwiiii