Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Ndo maana tunasema kwa nn mama asitumie njia sahihi?
Yawezekana kuna libaba lingine lilikuwa linachangia ujenzi.
hilo halikuhusu,as long as hukuwa makini na familia yako, kaa tulia tule ugali wa matembere na sukuma wiki...kama ikiwa hivyo ndio utahama?......wewe tulia wewe.