Can this end justfy the means?!

Can this end justfy the means?!

niko tayari shemeji!na nimeshajipanga!lakini hili swala la mabaamedi tuliache kama ACCELLERESHENI DIU TU GRAVITY=9.7979m/ss

Au unai approximate kuwa 10 kabisa ili kuondoa usumbufu wa kubofyabofya!
 
INATEGEMEA SASA,na hiyo pendolum bob mlikuwa mnaiswing mkiwa wapi.ukiwa KANTALAMBA HAI SKOOL unaweza pata hata 2m/ss.washikaji walipata 0m/ss.kule watu wachawi sana lol!leo vipi kinondoni naweza kuwaona?i need to see you guys,mambo yamenifika shingoni
 
Mechi za majaribio muhimu mchumba. Zinakupa ufanisi kwenye mechi za ligi kuu.
Hujamuelewa Geoff ,yeye hataki za majaribio.Anataka za ugenini/kirafiki na hizi ndio hatari sana.Itakuwa kma timu ya Taifa ilivoenda Misri na Yemen na kuchabangwa.Aibu kweli.
 
INATEGEMEA SASA,na hiyo pendolum bob mlikuwa mnaiswing mkiwa wapi.ukiwa KANTALAMBA HAI SKOOL unaweza pata hata 2m/ss.washikaji walipata 0m/ss.kule watu wachawi sana lol!leo vipi kinondoni naweza kuwaona?i need to see you guys,mambo yamenifika shingoni

Ukiifanyia kule mlimani kwa nguli itasoma 22m/ss! hahaha! Kinondoni jana ilikuwa balaa. Tukutuku lilisepa na sight mirror ya hiace! Get tugedha this week lazima.
 
Hujamuelewa Geoff ,yeye hataki za majaribio.Anataka za ugenini/kirafiki na hizi ndio hatari sana.Itakuwa kma timu ya Taifa ilivoenda Misri na Yemen na kuchabangwa.Aibu kweli.

Hahaha! Nazo zina umuhimu wake. Unacheza huku unazomewa. Ukirudi kwenye ligi kasi inaongezeka! LOL (sore, off topic)
 
Hujamuelewa Geoff ,yeye hataki za majaribio.Anataka za ugenini/kirafiki na hizi ndio hatari sana.Itakuwa kma timu ya Taifa ilivoenda Misri na Yemen na kuchabangwa.Aibu kweli.

ZD leo.......naona una advice kweli kweli
 
Ni ule mpango wetu umesahau?, (TAMWA yetu ya JEIEFU).Si tumepanga tuanze kampeni za maadili?. Tena wewe ndo mwenyekiti na mimi mweka hazina.Yani HATUDANGANYIKI! hehehehehe!
 
Ukiifanyia kule mlimani kwa nguli itasoma 22m/ss! hahaha! Kinondoni jana ilikuwa balaa. Tukutuku lilisepa na sight mirror ya hiace! Get tugedha this week lazima.
nilitaka kuja dadaako akaleta zengwe!eliza yupo fresh?safari hii nimeandaa na bajeti ya hela ya nyumba ya kulala wageni😀
 
Ni ule mpango wetu umesahau?, (TAMWA yetu ya JEIEFU).Si tumepanga tuanze kampeni za maadili?. Tena wewe ndo mwenyekiti na mimi mweka hazina.Yani HATUDANGANYIKI! hehehehehe!
ZD mi naona tuifanye TAWLA ya JEIEFU ntakuwa kompitent zaidi hapo...i will chair hiyo haina shida.....feza we shikilia tu haina neno tutaenda sawa
 
Usijali,sie huwa tunafanikiwa kwa vile tuna umoja.Itabidi tuandae geti tugeza ya kupanga taratibu.wapwa hawaruhusiwi kuja.
 
SHEZ ONLY!!!! mi ndo maana tusipoonana siku moja huwa nahisi kupungukiwa you think fasta duh!!!

COPIED FOR IMPLEMENTATION MADAM TREASURER!!
 
nilitaka kuja dadaako akaleta zengwe!eliza yupo fresh?safari hii nimeandaa na bajeti ya hela ya nyumba ya kulala wageni😀

Ukipungukiwa kama kawaida tunapiga donee.
 
Ntawahi kuosha vyombo afu kabinti nakaweka mgongoni afu natia timu.

Poor Xpin, endelea kujiovadozi hivo hivo....u r too naughty u deserve that!!

tukiona mtu kabeba mtoto tunajua ni wewe
 
Hahaha! Na nepi sitasahau! Kilichomshinda mchumbangu kwenye limbwata lake ni kuhamishia nyonyo zake kwangu. Lol! Ningekanyonyesha kabinti mpaka nikome! Nikifikiria kuvaa sidiria, bora ndoa ivunjike! LOL!
 
Back
Top Bottom