Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogaaaa am voting of diamondabegooooooooo obooooo
Ogaaaa am voting of diamond
Division four ya point 69 ila ni pass.....:blah:Vitoto vya BRN hivyo
Division four ya point 69 ila ni pass.....:blah:
Sasa wapopo ndio wanajua Kiingereza? Watawaonea hao hao kina Wema Sepetu kwenye facebook.
Am don't voting for david may be until he do colabo with Tanzania sweetheart that honorable of seengida
also I don't vote for chibu because he is sleeping with international woman and leaving us Tanzanians
wapopo ndo akina nani?
mimihapauk
Mbona ukisoma hiyo screenshort uliyoweka inasema ''WE KENYANS WILL...." maana yake huyo anayesema hapo ni mkenya sio mnigeria, au ulihadithiwa bila kuisoma?
Tulivyo wehu unaweza kukuta hiyo account ni ya m-Tz ila kajifanya Mkenya ili kuleta ili songombingo ni ujinga wa hali ya juu wangejaribu hata kumcheki uyo mtu inawezeka tusingefika hapa.
Navumilia kuwa mtanzania
Wakenya hawana muda mchafu kama huo, maandishi ya kibongo hayo.
Taifa lina nuksi hli.
You can't fix stupid!