Can this stop please! Tunadhalilika mitandaoni kwa kuitwa vilaza, broken English, tunajipendekeza

Vinuka mkojo wenye akili za panzi ndio wanafanya hivyo...

Watu wapo busy kutukana matusi ya nguoni kwenye mitandao ya jamii kwa mtu asie na mpango nao...

Ndo matunda ya shule za kata..
 
Kisa sio Diamond kisa ni wanaoenda kumtukana Diamond huko na kumsakizia kila kitu. Halafu wanasema wanawapenda hao wengine na ndio wanawashabikia hawampendi Diamond. Wanatia aibu nchi kisa wivu Diamond hasipate tuzo za MTV Africa

So sababu ni wanamchukia Diamond ndio wanatuhahibisha na wengi wao ni umaskini hawataki kuona mtu anapaaa nao wakafanya wakapaa. Na anaelilia mapenzi na ufalme halosto nao ndani.

Kufanya collabo ndio mwendo Africa hata wao wanafaidika na wa South Africa wanafanya na wa West Africa hapa ongea lingine. Wa west hadi nje ya Africa wanaenda. Watu wapo kazini kusaka pesa kama kuna asiye penda hajuna tabu sikiliza collabo za ea Tanzania kwa waTanzania.

Haya kumpigia kura Diamond tuzo tatu ingia hapa

http://mama.mtv.com/voting/

Waweza piga kura mara nyingi kila siku

Tanzania oyeeeee
 
Am don't voting for david may be until he do colabo with Tanzania sweetheart that honorable of seengida
also I don't vote for chibu because he is sleeping with international woman and leaving us Tanzanians

Aaagh collabo mmmh

Alizani bado yupo single kumbe na kupata mtoto kapata mwezi huu, inabidi aangalie kwingine.
 
mimihapauk

Mbona ukisoma hiyo screenshort uliyoweka inasema ''WE KENYANS WILL...." maana yake huyo anayesema hapo ni mkenya sio mnigeria, au ulihadithiwa bila kuisoma?
 
Last edited by a moderator:
mimihapauk

Mbona ukisoma hiyo screenshort uliyoweka inasema ''WE KENYANS WILL...." maana yake huyo anayesema hapo ni mkenya sio mnigeria, au ulihadithiwa bila kuisoma?

Exactly huyo ni mkenya. Inawezekana hayo maneno aliyaandika huko kwenye page ya Davido, ndo maana mleta thread akajua jamaa ni mnigeria.

Sasa huyo naye anacheka wenzie kuwa hawajui kiinglish, Mbona English yake ina matege kama miguu yangu "This Tanzanian are fools" , "he cant easily change our mind" mmmmmh. So far watadhalilika hao hao wanaotukanana huko.
 
Last edited by a moderator:
Tulivyo wehu unaweza kukuta hiyo account ni ya m-Tz ila kajifanya Mkenya ili kuleta ili songombingo ni ujinga wa hali ya juu wangejaribu hata kumcheki uyo mtu inawezeka tusingefika hapa.
 
Hao wanaija wenyewe ni wataalamu wa pidgin & creole!!
..hizi timu zenu kweli ni tatizo!!
 
Tulivyo wehu unaweza kukuta hiyo account ni ya m-Tz ila kajifanya Mkenya ili kuleta ili songombingo ni ujinga wa hali ya juu wangejaribu hata kumcheki uyo mtu inawezeka tusingefika hapa.

Wakenya hawana muda mchafu kama huo, maandishi ya kibongo hayo.
Taifa lina nuksi hli.
 
Kila mara nashangazwa na Watz wanaomshabikia Davido mara kwa nakusahau kua aliitukana nchi yao.

Halafu ajabu zaidi wanasahau kwamba huyu Diamond alikosana na Davido kwa kuweka utanzania wake mbele na kuona ustaa si kitu mbele ya nchi..!

Pole Diamond Platnumz endelea kuisimamia nchi yako tunaotambua uwakilishi wako tutakupa sapoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…