Can this stop please! Tunadhalilika mitandaoni kwa kuitwa vilaza, broken English, tunajipendekeza

Bora niitwe kilaza kuliko kumpa kura huyo mtanzania anaekuja kunichamba ig akishapata ananiambia nikarambe ndimu kwanini asiombe kwa waganda na kisha changanya damu ? Nakubali kuitwa kilaza kama bendera ya tz ilipeperusha na filbert bay dunia nzima ilimuona
 

Laana .
 
In JF, I am more into "Siasa, SPROTS and MMU". I do visit and make comments in other "Jukwas" as well.

Come sun, come rain, I am extremely proud to be a Tanzanian.

My humble opinion is that the Team Diamond vs Team Kiba business is simply getting out of hand. Why not keep the so called teams within Tanzanian context? As soon as something crosses the country boundary, it becomes Team Tanzania regardless of who ever is representing the country.

Yes, common sense is not so common BUT in this case, let common sense prevail.
 

sasa kama unaweka maisha yake binafsi mbele ya kazi yake kwanini usinye boga??? ni upuuzi wa watanzania wachache mtu ame break up na mpenziwe kapata mwingine unaanza kumtusi limao lazima likuhusu na wanakwambia dawa ya moto ni moto..

Mwaka jana kachukuwa 3 chanel o, bila ya support kutoka kwa haters na akawakalisha wakina davido, davido hakupata kitu ule usiku...

Sio lazima kila mtu ampigie kura, haters waliomfollow mitandao ya kijamii, wanamtukana thanks to them ndio anaongoza kwa hilo na analipwa mkwanja swaaaafi,

haters wanaangalia video zake youtube thanks to them analipwa swaaafi na wanamfanya awe king of views na malipo of all time in East Africa, na among top 5 leading Africa kwa 2015.....

Thanks to haters wanajaa kwenye show zake na kumfanya awe most expensive artist in EA
 
Huyo stevehand sijui mwenyewe kienglish kimempiga chenga.... this tanzanian are fools.... ndio nini sasa

Ndo maana nasema ni mbongo huyo. Taifa limejaa wanafiki hli mpaka tukipishana na shetani ndo anaona aibu.
 

Hiyo ndimu kwani kwenye mziki wake hau wanamlilia mapenzi kutwa kumjazia mambo?
 
IAmn voiting fore davido, he knwes my namber onei reimix with diamnd, he make us famoues in nigeria

Mkuu, hiki ni Kiyunani au macho yangu!!! Aiseee. Nimecheka mpaka basi. Mwee!!
 
Wito wangu bado ni ule ule .... Unampenda mtu ya nini umtukane mwingine??hukatazwi kumpenda.
Kwani ukimpenda bila kutukana wengine wenye mtizamo tofauti haiwezekani???
Yes still voting davido... Whether U like it ... Or u don't like it that is your issue and it is none of my business. Go settle it first.
 
mimihapauk

Mbona ukisoma hiyo screenshort uliyoweka inasema ''WE KENYANS WILL...." maana yake huyo anayesema hapo ni mkenya sio mnigeria, au ulihadithiwa bila kuisoma?
Mkurupukaji. Anapanik hadi meseji anaielewa visivyo. Watu wanapanik bure. Hizi ni kura tu . You all should take this easy...
 
Last edited by a moderator:
Point.
Alafu clouds FM wamekazana uzalendo uzalendo...hivi uzalendo ni kupiga nyimbo za wiz kid ,saut Sol na kuamua kutopiga nyimbo za lady jay dee?? Au uzalendo unaimbwa kwa domo tu??,tuache unafiki tuweni real. Iteni majina yote ila mjue mzalendo Tanzania alikuwa nyerere tu ambae alikubali afe maskini yeye na wanae ili Tanzania inufaike baadae.wengine wote ukiwemo wewe unaesoma hapa wizi mtupu.
 
Am don't voting for david may be until he do colabo with Tanzania sweetheart that honorable of seengida
also I don't vote for chibu because he is sleeping with international woman and leaving us Tanzanians

dah! naomba nijuzwe kama hii ni joke au mtu kavunja
 
o' my GOD najihisi ni uchi si kwa matusi haya jamani jamani hili swala sio uwe umesoma hujasoma iwe kata au English medium jamani kuna mtu humu ndani ana mchukia mamake alo mzaa? nadhani sisi wote ni watoto wa mama mmoja ambaye ni TANZANIA kwann ujivunie kisicho chako ni ubwege usio vumilika tunatia aibu kutwa kwenye page mara za davido mara yemi mara tiwa savege huko unakuta viswahilitu na matusi ya wabongo tena mnamtukana mtu ambaye mnashea mama ambayeni TANZANIA hizi aibu za kujitakia davido kawachota akili eti kaweka bendera yetu yule ni mjanja mnafikir akipata tunzo atawaletea huku au ataipaisha nchi yake? hivi NANIKAWAROGA nyie wabongo tubadilike aibuuuuuu
 
Kuwa Mnigeria sio kuwa na Elimu au kujua Kiingereza, Tumeishi nao na tunawajua vizuri, kwanza hawana urafiki baina yao, senbuse kuwa marafiki na Watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…