Can this WORK?????

Can this WORK?????

..yes! you can make it work, ....'baby steps'...one step at a time...enjoy the fun and remove the doubts ...'za kuanguka'...

...best wishes!
Amen..Mr Soulmate been a while..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwanini ni mtihani?

Du TF, hii kitu ya long distance relationship imejadiliwa sana humu ndani. inahitaji confidence sana kwa pande zote mbili ambayo ni mara chache kukuta both couple wana hiyo self confidence ambayo itakufanya uamini ni wewe tu unayemfanya mwenzio afike kwenye ulimwengu mwingine. Did u know wivu ni ishara ya kutojiamini?
 
I believe in destiny
If it was meant to last, it will last.
Utajinyima ku-enjoy full sasa na usije pata nafasi kama hiyo hata kwa mmeo.
Kuumia na kuumizwa kupo tu.
Inamaana basi tuache kufanya kazi maana hatuna hakika tutakufa lini, labda kesho.

Ukiona watu wamefunga ndoa, jua wote wako VERY SERIOUS na mahusiano hayo
Lakini wakati mwingine hutokea ndoa ikavunjika tena wakiwa na watoto wakubwa.
It wasn't their destiny kuwa pamoja.

I real like it; go for it, enjoy it when it last and dont regret later.
ila hii ina work kwa mtu ambaye hatake things seriously, bahati mbaya wadada wengi yaani sijui wana maimagination yepi ya mahusiano ndio maana huumia sana pale inapofail.
 
..yes! you can make it work, ....'baby steps'...one step at a time...enjoy the fun and remove the doubts ...'za kuanguka'...

...best wishes!

Thanks, napenda jinsi unavyoelezea points zako. Unafanya maisha kuwa manageable kama sio rahisi kabisa.
 
Du TF, hii kitu ya long distance relationship imejadiliwa sana humu ndani. inahitaji confidence sana kwa pande zote mbili ambayo ni mara chache kukuta both couple wana hiyo self confidence ambayo itakufanya uamini ni wewe tu unayemfanya mwenzio afike kwenye ulimwengu mwingine. Did u know wivu ni ishara ya kutojiamini?
It could be a very healthy sign that evokes the desires within...and could be a strong motivation for progress because jealousy is born through a comparative look to other people ...and that may construct a healthy competitive mindset that pushes you to the better and that could be the secret behind the success and even more self confidence.
 
Take a chance if you can but with care!!..whatever happens never regret, just keep in mind it is such an amazing adventure!! Usiupe moyo na akili yako wazo la kutendwa..wengi sana we start from flirting ndo tunaendelea kwenye mapenzi as JS spotted hapo juu!!
 
My friend, bado simuoni hapo chini, naona ataingia baadaye jamvini na kupata michango yenu mizuri, au la kaamua kuangalia as a guest, but either way, nawashukuru kwa niaba wale ambao wamechangia so far na wanaoendelea kuchangia. I am also learning something from u guys!
 
I aggree, ikiwa kwa kiasi lakini inaweza ikawa so destructive hadi kushusha self esteem au kuleta madhara mengine kama kuwa abusive (physicaly to some). Sasa kama mtu ana kawivu, ongeza hiyo long distance relationship ambayo mkijitahidi mwaweza kuwa pamoja mara 6 au 8 per year. Cost implications, kwani many times mtalazimika kusafiri kwa ndege ili kusave time ili at least u have a weekend every other month together, maana usafiri wa basi take a whole day.
 
Take a chance if you can but with care!!..whatever happens never regret, just keep in mind it is such an amazing adventure!! Usiupe moyo na akili yako wazo la kutendwa..wengi sana we start from flirting ndo tunaendelea kwenye mapenzi as JS spotted hapo juu!!

Negative thinking eeh; too bad for some of us uses past experiences as reference. I get both yours and JS points
 
Nimeshalizwa na member mmoja humu JF anayejiita "ukwelikitugani" sina hamu tena na rafiki hata mmoja hapa JF.
Nitakuwa nacomment tu nakuomba ushauri ishu zangu sio kuwasiliana na mtu/watu thru PM.
 
To me hapo yaweza work kama during flirting walikuwa conscious kama alivyoweka TF hapo juu...sometimes we flirt bora liende na smtimz we intend.....sasa hawa baada ya kukutana wameweza ku unvail reality to the extent kigezo kibaki kuwa distance tu????

1. Dada z employed kama yu serious hapo transfer itahusu.....if and only if distance is the only hurdle
2. But kuwa unmarried daznt always mean wako single....hilo wameliwekaje kwenye hii equation yao?
3. Wamependana kiasi cha kutaka kuwa mke na mume au they have both reached their sexual satisfaction points when they were together of which is not the only indicator ya utayari wa kuwa pamoja for good......as hii huwa inashuka as time goes by ndani ya ndoa (kwa wengi)

Lasting or not depends on their acts, persistence, tolerance na mengineyo ambayo ni core values za marriage lyf.....but wao wanatoa very weak reasons kama vile wamegundua walidanganyana occupations, walikuwa happy walipokutana etc.......the fate is in their hands no matta what we discuss or advice
 
How, urafiki wenu ulihusu mapenzi? Wote mlikuwa serious? Je huko mitaani hujawahi kulizwa?
Ingekuwa vyema usingemtaja jina; ni maoni yangu tu lakini!
 
To me hapo yaweza work kama during flirting walikuwa conscious kama alivyoweka TF hapo juu...sometimes we flirt bora liende na smtimz we intend.....sasa hawa baada ya kukutana wameweza ku unvail reality to the extent kigezo kibaki kuwa distance tu????

1. Dada z employed kama yu serious hapo transfer itahusu.....if and only if distance is the only hurdle
2. But kuwa unmarried daznt always mean wako single....hilo wameliwekaje kwenye hii equation yao?
3. Wamependana kiasi cha kutaka kuwa mke na mume au they have both reached their sexual satisfaction points when they were together of which is not the only indicator ya utayari wa kuwa pamoja for good......as hii huwa inashuka as time goes by ndani ya ndoa (kwa wengi)

Lasting or not depends on their acts, persistence, tolerance na mengineyo ambayo ni core values za marriage lyf.....but wao wanatoa very weak reasons kama vile wamegundua walidanganyana occupations, walikuwa happy walipokutana etc.......the fate is in their hands no matta what we discuss or advice

Thanks kwa critical analysis, nafikiri kwa karibu yote hapo juu ni too early to say.
Dada anafanya kazi kwenye campany so ni kuacha kazi na kumfuata mume, kama watakubaliana
sidhani kama wameshafikiria kuoana, nahisi ni kuwa relationship ambayo yaweza kugrow further kama wote watafeel like it.

you are right the fate is in their hands.
 
toka zako ww mbona wakati mnapigana saundi ulijikausha?....au ndo unamdanganya akiona thread yako ajue ameangukiwa......madem bwana,ovyoooooooo!!!
 
Lakini, ukichukulia the way we met; na we both know how the other person flirts around, huoni itakuwa full wivu na kutoaminiana.

1.step ..........kuja clean, na kuamiana they realy need it kwa sababu huu ndio msingi wa uhusiano wowote mzuri..la haliwezekani endeleeni kuji enjoy! maana hamuwezi kujinyima vyote!
 
My friend, bado simuoni hapo chini, naona ataingia baadaye jamvini na kupata michango yenu mizuri, au la kaamua kuangalia as a guest, but either way, nawashukuru kwa niaba wale ambao wamechangia so far na wanaoendelea kuchangia. I am also learning something from u guys!

Akija mwambie asome signature yako. Ndipo jibu lilipo.
 
Back
Top Bottom