Can u predict the results, regardless atapigana na nani?

huyu jamaa ni mganda aliyejichokea ameamua kutafuta hela kwa nguvu kupitia ubondia...nasikia atapambana katika pambano la utangulizi siku ya pambano la cheka...
 
huyu jamaa ni mganda aliyejichokea ameamua kutafuta hela kwa nguvu kupitia ubondia...nasikia atapambana katika pambano la utangulizi siku ya pambano la cheka...

Thanks,

Kweli amechoka unaona hiyo boxer yake? halafu wampime na wingi wa damu. Si Matumla alimmaliza huyu?
 
Nadhani na hao wandaaji wa haya mapambano ya ngumi wabadirike na waachane na dhana ya kuokota okota tu maboxers simply wanatoka nchi fulani kumbe hawana lolote. Huyu hata mimi nikiingia naye ulingoni lazima nimlambishe carpet...
 
Thanks,

Kweli amechoka unaona hiyo boxer yake? halafu wampime na wingi wa damu. Si Matumla alimmaliza huyu?
asante kwa kushukuru...matumla (anyone) hapo hana mpinzani kabisa....
 
Nadhani na hao wandaaji wa haya mapambano ya ngumi wabadirike na waachane na dhana ya kuokota okota tu maboxers simply wanatoka nchi fulani kumbe hawana lolote. Huyu hata mimi nikiingia naye ulingoni lazima nimlambishe carpet...
really?
 
halaf huyu ni m'beba BOX😀

Hili linahitaji thread yake ya kujitegemea na kamusi ya matusi pembeni au unywe pombe kali ya kienyeji ili ifunue hazina ya matusi kichwani....just incase.
 
Hili linahitaji thread yake ya kujitegemea na kamusi ya matusi pembeni au unywe pombe kali ya kienyeji ili ifunue hazina ya matusi kichwani....just incase.
hahah!anzisha tu thread.i was born to defend you only!
 
hahah!anzisha tu thread.i was born to defend you only!

Hapana nimechoka na matusi unakumbuka ile ya mwanaume wa kwanza? sidhubutu tena.
 
Kwakweli huyu boxer ni reflection ya maisha yetu... amechoka mazee... hadi hao promoters na waliomzunguka wanaonekana kama hawana uhakika kama jamaa ataweza hata kutoka hapo kwenye mizani
Mimi nadhani itabidi wanamichezo wetu wawe wanapewa juice za kuongeza damu na dawa za minyoo hata kama hawajapimwa.

Bora afya
 
hivi wewe unamfahamu MURDER MAUGO?
 
Huyo muungwana anapigana feather weight?
 
Ha ha ha ha, ni kweli hasa huyo jamaa kulia hapo mbele anaonekana anamwangalia kwa wasi wasi, hata kama ni kikomazi anaonekana afya yake ina mushkeri kidogo.
 
Geoff, simfahamu, kuna nini tena?
huyu bwana mdogo nimepasha nae sana pale DDC-mlimani,pande chuo road!jamaa ni mwembamba kuliko maelezo halafu CHIFUPI.....!kinachomkaba ni weight yake ndogo,LAKINI NI BONDIA WA UKWELI!kwenye mapambano mengi ya utangulizi huwa anakuwepo.

just imagine,KASEBA anamkubali huyu mdogo.na anakiri dogo ni mkali!lakini ndo hivo mazee.umbo linamtaiti na ukali wa maisha.mabondia wa bongo tunawakwepa kila siku ''BRO NAOMBA NAULI''
 
Mkuu kwa wewe uliyekuwa unafanya tizi just for fitness sikushangai lakini kwa bondia anaenda pale DDC ku fanya mazoezi kwa ajili ya pambano namshangaa sana tu.

Ila na mlo nao unawakaba kidogo, na umaarufu kidogo basi anapitia ma house girl wa watu na lishe duni na mazoezi makali then mtu anakauka kama vile amepigwa shoti ya umeme.
 
kaseba anakula tizi pale!
 
kaseba anakula tizi pale!

Ishakufa siku nyingi pitia hapo jioni utaona mpaka yale machuma yameuzwa kama scraperz ndio bongo hii. Kuna vioo tu vya kujiangalia unavyopiga chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…