Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
AWADHI TAMIMO ameibukia pale,na sasa maisha yake ni sweden!kufa ni sawa inaweza kuwa imekufa.maanake wanachama tulisambaratika sana.Ishakufa siku nyingi pitia hapo jioni utaona mpaka yale machuma yameuzwa kama scraperz ndio bongo hii. Kuna vioo tu vya kujiangalia unavyopiga chuma.
ile ndo ilikuwa gym ya ki-ganstar.
mwaka wa pili chuoni niliwahi kupasha pale nikafumuka misuli ajabu.nilifika kama kilo 99.nikaona mwalimu ananishawishi niingie kwenye ring!nikaona dah!mwanzo wa kufeli