uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Waungwana na wakubwa zangu kwa heshima kubwa ninaomba nimrudishe huyu Mana kwenye majadiliano yetu ya kila siku, pengine wengi mmesikia mambo yake, wengine mmetetea tusimnyoshee mtumishi wa Mungu vidole etc! mimi ni Mkristo na kwa kweli namheshimu Mungu, He is the reason of who I am right now, he has been so good to me.
Lakini kitu kinachoniuuuuma sana ni watu wanafiki wanaomtumia Mungu kwa mambo yao wenyewe, narudia huu usemi tena "Enyi wote mnajiita manabii, watumishi, waheshimiwa na Malaika" mjue kuna siku na tena haiko mbali mtakutana na huyu mnayemtangaza kinafiki na kwa maslahi yenu uso kwa uso, na sijui mtamueleza nini"
Kwangu mimi aheri na fisadi kabisa anayetumia wadhifa wake kuiba, kuliko Mchungaji anayekusanya watu wa watu, wakiwa na nia ya kumtafuta Mungu, lakini kumbe wako ki Maslahi yao na wana mambo yao Binafsi ("Hili halikubaliki kabisa wandugu")
Nimepata bahati ya kusikiliza hii clip:
Bomu la kakobe the Part2 - YouTube
Hemu jamani msikilizeni huyu mtumishi anayejiita wa Mungu ambavyo anaweza kukaa chini na kupanga hila kiasi chote hiki, hili kwa ukweli haliwezi kuelezeka hata kidogo wandugu,
Maswali Machache:
My take:
Mungu yupo, na atafutwe, ila ninawaomba watu kidogo tuwe pia tunatumia akili na logic zetu kichwani, tusiwe tunaenda kama makondoo.
Nomba kuwasilisha na kufungua mjadala wakubwa.
Kind Uttoh 2002 Zanzibar.

- Ni watu wangapi nchi hii wanaojitahidi kumtafuta Mungu and they ended up kuwa chini ya wachungaji kama hawa?
- Ni watu wangapi wenye mapenzi na Mungu na wa kipato cha chini wanaotoa pesa zao kwa kumpenda Mungu ambazo zinaishi kwenye hizi hila?
- Kwa nini mtu uwe na nyadhifa 3 kubwa? Mchungaji "ana upako" ila hana mda wa kukaa na kumtafuta Mungu, Mfanya biashara Mashuhuru - Lazima awe na corner nyingi na mtoa rushwa mzuri, Mbunge - Hili ndo balaa la mwisho?