We ndio umeenda op kabisa, umeambiwa 682 - one number is correct and well placed. Sasa hiyo sita inatakiwa kwana iwepo kwenye password yako. Acha kuandika maelezo marefu mzee yasiyo na maana.Jibu sahihi ni 042
Ee we jamaa mbishi namba waliyokataa waashi ni 738 na jibu langu nimesema ni 660. Umekula kwanza? maana sio kwa kuchanganya mafile huko.Sawa, jibu langu ni 042 lako liwe 682 ( Angalia box la nne wamekataa namba zote tatu (Nothing is right) na namba hizo ni 7,3 na 8 sasa itakuwaje kwenye namba yako iwepo 8?
042 is not correct aisee. Fuata maelekezo, don't force your fvcken piece of non existing answer.6 haipo
042
πakazia jibu hili hapa.
Anakaza TU fuvu Bure. 042 ndio sahihiKuna kiumbe anakaza fuvu kwenye reply ya hapo juu anaendelea kuni"quote" aking'ang'ania jibu lake ambalo ni 660 ππππ
Hint ya pili yenye namba 614 inasema, One number is correct but wrongly placed.n
πakazia jibu hili hapa.
Mkuu just fahamu kuwa msanii huwa anawaza kwa haraka sana kisha kwa ufasahaHint ya pili yenye namba 614 inasema, One number is correct but wrongly placed.
Sasa kama jibu ni 602, kwenye hiyo hint yenye 614 sita ndio itakuwa namba sahihi ila haipo sehemu sahihi, nawewe 6 umeiweka hapohapo ilipoonekana sio sehemu sahihi
Jibu sahihi ni 042