Can you crack the password?

Can you crack the password?

Kukuruka weee, maelezo marefu but jibu ni 660. 👇👇👇

Tunachukua number zilizo jirudia na hizo ndio sahihi.
682 - 6 is correct
614 - 6 is correct after two number be wrong
206 - 6 is correct but wrong placed
738 - nothing correct
780 - 0 is correct a it appeared to 206.
 
Jibu sahihi ni 042
We ndio umeenda op kabisa, umeambiwa 682 - one number is correct and well placed. Sasa hiyo sita inatakiwa kwana iwepo kwenye password yako. Acha kuandika maelezo marefu mzee yasiyo na maana.
 
Sawa, jibu langu ni 042 lako liwe 682 ( Angalia box la nne wamekataa namba zote tatu (Nothing is right) na namba hizo ni 7,3 na 8 sasa itakuwaje kwenye namba yako iwepo 8?
Ee we jamaa mbishi namba waliyokataa waashi ni 738 na jibu langu nimesema ni 660. Umekula kwanza? maana sio kwa kuchanganya mafile huko.
 
Kuna kiumbe anakaza fuvu kwenye reply ya hapo juu anaendelea kuni"quote" aking'ang'ania jibu lake ambalo ni 660 😂😂😂😂
Anakaza TU fuvu Bure. 042 ndio sahihi
 
n

👆akazia jibu hili hapa.
Hint ya pili yenye namba 614 inasema, One number is correct but wrongly placed.

Sasa kama jibu ni 602, kwenye hiyo hint yenye 614 sita ndio itakuwa namba sahihi ila haipo sehemu sahihi, nawewe 6 umeiweka hapohapo ilipoonekana sio sehemu sahihi

Jibu sahihi ni 042
 
Hint ya pili yenye namba 614 inasema, One number is correct but wrongly placed.

Sasa kama jibu ni 602, kwenye hiyo hint yenye 614 sita ndio itakuwa namba sahihi ila haipo sehemu sahihi, nawewe 6 umeiweka hapohapo ilipoonekana sio sehemu sahihi

Jibu sahihi ni 042
Mkuu just fahamu kuwa msanii huwa anawaza kwa haraka sana kisha kwa ufasaha
 
Back
Top Bottom