Can you date a guy without asking him for Money?

Kwani kuna ulazima gani kucopy ? Au ni tujue ngeli unapanda?
Ila wewe noma unacopy hauachi kitu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20200613_220456_335.JPG
    169.1 KB · Views: 1
Nimewaza sana mkuu mtoto down to earth kama huyu anastahili kupata hitaji la moyo wake. Inabidi tufanye kitu tumnusuru na mabaharia waharibifu au unasemaje?
Amin kwamba mzee huyu manzi kama anayosema ni kweli
Mkuu hii sala yako huenda ikampeperusha huyo malkia kuja kwangu tuombe uzima.Binti1

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
😁😁 Mungu akupe hitaji la moyo wako AMEN πŸ™πŸΏ
 
Amin kwamba mzee huyu manzi kama anayosema ni kweli

😁😁 Mungu akupe hitaji la moyo wako AMEN πŸ™πŸΏ
Mkuu mwambie huyo mtoto usivunge tu kaka, kuwa mkweli sema nae acha uoga mkuu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Ukicopy uwe unatoa credit
 

Attachments

  • IMG_20200613_221818_579.jpg
    75.1 KB · Views: 1
Kwani kuna ulazima gani kucopy ? Au ni tujue ngeli unapanda?
Ila wewe noma unacopy hauachi kitu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa wapi mama jamaniiiiiii
.
Huyu ndo maana alinsumbua usd 500,000 a month alivyoandika mie nikajua anaongelea labda TSh 500,000 kumbe ni alimaanisha usd 500,000 sidhani hata kama alijua ni sh ngapi za kitanzania
Kumbe alikuwa anakopi na kupaste kutoka Quora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…