Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mwanaume mtoaji atatoa tu bila kuambiwaNahisi niko over verse baada ya kusoma hii comment..., aiseee sijawai ona hii
Si lazima aombwe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume mtoaji atatoa tu bila kuambiwaNahisi niko over verse baada ya kusoma hii comment..., aiseee sijawai ona hii
BmoKwenye matatizo hakuna shida, ila kuna mambo mengine kama mavazi, saluni, sijui nyweli, vocha n.k
Yaani vitu vidogo vidogo ambavyo anaweza mudu lakini as long as ana boyfriend hafanyi lolote.
HahahahaHumu ndani wakaka bado mnaendeleza libeneke tu
Si bora awe muwazi kwamba waya mkali😅Ila jf hii bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna yule mwingine anajifanya amekuelewa hivyo anataka akupe milioni2 ili mspend usiku mmoja hoteli kubwa yoyote utakayochagua. Uandishi tu unasema nyokolo zako na robo ukute hapo unatumia free basics.
Yaani!! Anaandaa ujumbe mmoja anatuma kwa id za kike na offer yake ya milioni mbili. Nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si bora awe muwazi kwamba waya mkali[emoji28]
Haahaaahaahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuunga mkono