Can you date a guy without asking him for Money?

Kumbe ndiko unakofanyia shughuli zako dada!!
Haya kazi njema, endelea kuoverload huko sijui wapi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilikwanbia uache ku speculate. Sijui kwanini huelewi.

Ndio shida ya kuwa goal keeper hiyo, kichwa kinakuwa kigumu kama jiwe la Chamwino
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilikwanbia uache ku speculate. Sijui kwanini huelewi.

Ndio shida ya kuwa goal keeper hiyo, kichwa kinakuwa kigumu kama jiwe la Chamwino
Sasa dada kule unasema wewe jobless, mara wewe goal keeper wakati kumbe una kazi kabisa. Pambana.
 
Sasa dada kule unasema wewe jobless, mara wewe goal keeper wakati kumbe una kazi kabisa. Pambana.
My sisy jael a.k.a atoto Usichukulie maneno yangu so seriously au too personal.

Naandika ku refresh mind tu.

Basically i aint entitled to whatever i type.

Hopo me n u are in good terms

One [emoji173]
 
Keni boi deti wisi gelo withouti askingi seksi?
Unataka kusema "sex for cash" not sex for human desire"

Kama ndio hivyo itakuwa Ni prostitution business sell sex get cash ,no money no sex, fvck it[emoji44]

So if don't have any money ,we can't even taste the sweetness of vajayjay[emoji39]haaah!! Damn it!!![emoji44][emoji848]

Duuh maisha yanaenda kasi sana[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Past tense UES presnt tense No
Why asilimia kubwa ya wanaume wanakuchukulia poa na madharau kuwa lione hili nalila buree tu ngoja niende kwa kwa kina dori wanaojua kutumia doh sasa bra ! Ni bora umchune mtu tu mkija achana ujue umelimtumia na yeye pia .

Nadhani wewe u mkubwa sio unekuwa juzi .

Tofautishaga mwanamke unayempa hela saa mnaaachana.
1. Maurine nimeonelea tuachana .
2. Maurine poa
3. Huna heart feelings
4.Maurine why
Nawakati yule ambaye humpi hela
1. Beshti mambo
2.Beshti Poa My Love
Ukimuuliza kama yupo home anamadai ndio nipo home napika niambie.
3. Naonelewa tutemane kiaina .
4.Best why babe did i do wrong or what please can we talk about it.
5.No.
6.Besti ameshakuja kwako nakudai asemehewe.
Basi na movie ndio imesha .

Bora uchunwe .
Uuziwe kuliko kupewa bure na hamna shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…