Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Isiwe tu songi la kuachwa, utabubujikwa machozi siku nzima, hadi shavu libaki na ule mchirizi wa chumvi 😹Mm mziki inategemea nimeamkaje naweza nkaskiliza wimbo Moja siku nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isiwe tu songi la kuachwa, utabubujikwa machozi siku nzima, hadi shavu libaki na ule mchirizi wa chumvi 😹Mm mziki inategemea nimeamkaje naweza nkaskiliza wimbo Moja siku nzima
Miaka hii watu wakiachana hata hawaliii hawaumiii wala hawaskilizi nyimbo za kujifariji.Isiwe tu songi la kuachwa, utabubujikwa machozi siku nzima, hadi shavu libaki na ule mchirizi wa chumvi 😹
Mimi ndio maana nahitimishaga kwa kusema kama kitu fulani kilichopo leo kisingekuwepo na maisha yasingekuwa hivi.
Napenda sana mziki aisee, nyombo za senzo na lack dube ndio mara nyingi nasikiliza.
Ndo kwanza wanacheza singeli...Miaka hii watu wakiachana hata hawaliii hawaumiii wala hawaskilizi nyimbo za kujifariji.
Au unamaanisha nyimbo. Mana kuna mziki halafu kuna mziki.. au mimi ndo sielewi?Zamani pia mziki ulikuwepo.
Kumbuka hakuna enzi iliyokosa mziki ila zinabadilika tu staili za mziki
Isiwe tu songi la kuachwa, utabubujikwa machozi siku nzima, hadi shavu libaki na ule mchirizi wa chumvi 😹
Tajiri unalalia zuria huku unakula mziki mneneWatu wame advance Tajiri...Wana nyimbo za Kila matukio. Mkiachana utawekewa nyimbo hadi ujute, hii Hali unaona kweli kuna mtu wa kulia?
Tukirudi kwenye hoja ya msingi, Bora nisinunye kitanda nilale chini kabisa kuliko nikose mziki.
Zuria wapi, natandika nguo kwanza inafuatiwa na kitenge wakati najipanga kununua shuka ila ndani mziki CD 700.Tajiri unalalia zuria huku unakula mziki mnene
Wengine kuachana wanatrend na kupiga pesa kbsNdo kwanza wanacheza singeli...
View attachment 3019739
Yangekua laini sanaMimi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!
Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Human beings ni most adaptable creatures…. TungeadaptAnamaanisha mziki ndio hukuliwaza hata wakati unapoachwa na mpenzi wako mziki ndio hukuliwaza.
Sasa kama kusingekuwepo na mziki ni kitu gani kingekuliwaza?
Mastaa hao sio sisi raia wa kawaidaWengine kuachana wanatrend na kupiga pesa kbs
Una maanisha irine mkuu?Do you feel Irie?
Hapana RafikiUna maanisha irine mkuu?
Vyote kwa pamojaAu unamaanisha nyimbo. Mana kuna mziki halafu kuna mziki.. au mimi ndo sielewi?
BIG TRUE!!Yasingekua magumu kwasababu music usingeujua na usingeuwaza.
Anhaa hapo sawa . 👍Vyote kwa pamoja