Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
mf no. 01:baada ya miaka saba ya ndoa iliyo na kila aina ya furaha MWANAMKE unagundua kwamba mumeo aliwahi kuoa kipindi cha nyuma kidogo na ana watoto watatu wakubwa tu!kibaya ni kwamba amekuwa akikuficha kwa muda wote wa maisha yenu ya mapenzi.mwisho wa kitu mambo yameharibika anakuomba UENDELEE KUIFANYA CONFIDENTIAL!
what will be your response?
mf no.02:baada ya miaka ishirini ya ndoa MWANAUME unagundua kwamba watoto wanne ulio zaa na mkeo SIO WAKO!hili linawekwa wazi baada ya baba mwenye watoto kujitokeza hadharani na kudai wanae.unapojaribu kumdadisi mkeo anasisitiza kwamba ni kweli,lakini aliamua kufanya hivyo kwa sababu aligundua kuwa wewe mwanaume huna uwezo wa kumzalisha.baaada ya malumbano ya muda kidogo mwanamke anasema ''NA TUIFANYE HABARI HII CONFIDENTIAL ILI TUINUSURU NDOA YETU''
mf no.03:baada ya miaka saba ya ndoa MWANAMKE unagundua kwamba mumeo ni SHOGA!pamoja na furaha yote mliyonayo,ukiligundua hili,mumeo anaamua kuweka wazi kwamba huo ndio mchezo wake na hawezi kukaa hata wiki mbili BILA KUPIGWA BOMBA!unalia kwa muda mrefu sana halafu mwishoni anakuomba IWE SIRI
mf no.04:katikati ya maisha yenu ya ndoa inatokea kwamba mkeo anabakwa mbele ya macho yako na wahuni/wezi/majambazi.hili nalo unaweza kukaa nalo moyoni kwa muda gani?(okay,hili linaweza kuwa si lies)
karibuni tujadili