Umesomeka,for future use............
Interesting article....:shock::shock:
I think bn jobless is not a permanent status,if the man is jobless now it does not mean the situation will be like that forever,if there are signs that,he enjoys that state and is doing nothing to change then he can forget marriage,otherwise marriage is possible.............
...naweza kuwa jobless mtarajiwa mama....!Kwani we Taluma ni jobless,
.....heee!usije kuwa unakaa ndani tu unasali unasubiri Mana ishuke kutoka Mbinguni.
Amina....!Mmmm, Nitakubariki utokapo, nitakubariki uingiapo.
Nitabariki kazi ya Mikono yako, chombo chako cha kukandia na kapu lako la unga.
Nitakubariki shambani, nitakubariki mjini.
LD,Sasa kama hutoki ndani, hutumii nguvu na akili MI UMENIKOSA TAYARI.
Hapo badilisha mawazo please....sisi wengine tunaweza kuwa kama dhahabu, zezeta miaka 20 hivi....likijakuibuka, unaibukia Dubai.....! so u can still consider me bana!
....Duuh? kuolewa kunakuwadefined na JOB? Mi nilifikiri ni love first? then vitu vingine?
....Haka katopic haka naona katanitia machungu, nitakosa wachumba aiseee...lol!
To me yes!coz mtoa riziki ni Mungu pekeyake,as long as ni mzima zen mambo mengine yoote ni mipango tu na upendo wa dhati kati yetu,wangapi wanakazi but they dnt provide daily bread at home?hawawalipii xul waoto wao?hawajengi wala kujiendeleza kwa chochote?Mtu anaweza asiwe na kazi lkn ni mshauri mzuri na mpangaji mzuri wa mambo mengi!ol in lol ww ulie na kazi na umeolewa na mtu asie na kazi basi usiwe kikwazo wala kipingamizi coz mwenzio hana kazi,hapo ndio hasa uonyeshe upendo wako kwake na kuzidi kumtia moyo,na ww usie na kazi usiwe kikwazo kwa mwenzi wao mara kujinunisha nunisha na kuona kama unanyanyashwa,be happy with wat u have and God will give u mo.HASARA ROHO PESA MAKARATASI.
Husninyo,sasa tukishaoana kama hana kazi tutaishije?
Labda kama mimi nitakuwa na kazi niwe namuhudumia mume, yeye itabidi akae nyumbani afue, aoshe vyombo, apike, alee watoto. Nikirudi nikute ameniandalia maji ya kuoga......
Dear Pearl,
Unaweza ukaichungulia signature yangu hapo chini na kuifanyia kazi please?
siwezi kumpenda mtu jinsi alivyo hata kidogo. Nitampenda kutokana na vigezo nilivyojiwekea.Husninyo,
Mpende mtu jinsi alivyo then, kutoka hapo mnaweka mikakati jinsi ya kutoka kimaisha!
Interesting article....:shock::shock:
I think bn jobless is not a permanent status,if the man is jobless now it does not mean the situation will be like that forever,if there are signs that,he enjoys that state and is doing nothing to change then he can forget marriage,otherwise marriage is possible.............
If he is jobless,and looking for a job and has got education or is smart enough to run a business or humble enough to do house chores,then some of us will marry him..........:car:
To me yes!coz mtoa riziki ni Mungu pekeyake,as long as ni mzima zen mambo mengine yoote ni mipango tu na upendo wa dhati kati yetu,wangapi wanakazi but they dnt provide daily bread at home?hawawalipii xul waoto wao?hawajengi wala kujiendeleza kwa chochote?Mtu anaweza asiwe na kazi lkn ni mshauri mzuri na mpangaji mzuri wa mambo mengi!ol in lol ww ulie na kazi na umeolewa na mtu asie na kazi basi usiwe kikwazo wala kipingamizi coz mwenzio hana kazi,hapo ndio hasa uonyeshe upendo wako kwake na kuzidi kumtia moyo,na ww usie na kazi usiwe kikwazo kwa mwenzi wao mara kujinunisha nunisha na kuona kama unanyanyashwa,be happy with wat u have and God will give u mo.HASARA ROHO PESA MAKARATASI.
siwezi kumpenda mtu jinsi alivyo hata kidogo. Nitampenda kutokana na vigezo nilivyojiwekea.
Halafu taluma usiwe muongo. Kwenye thread yako unayotafuta mchumba si umesema awe anafanya kazi au awe mjasiriamali. Kwanini na wewe usichukue jobless halafu ndio mpange maisha.
Mwanaume jobless yupo yupo tu anategemea ugali wa nyumbani kwao simpendi hata kidogo.
LD,
Hapo badilisha mawazo please....sisi wengine tunaweza kuwa kama dhahabu, zezeta miaka 20 hivi....likijakuibuka, unaibukia Dubai.....! so u can still consider me bana!
siwezi kumpenda mtu jinsi alivyo hata kidogo. Nitampenda kutokana na vigezo nilivyojiwekea.
Ni kweli lazima kuwe na minimum standards...kama elimu, akili ya mtu, adabu etc....hivi vitakufanya umpende mtu hivyo alivyo...then tatategemea kama mtu huyu ni mjanja hata kama ni jobless, unakuwa na uhakika, kama ana elimu u will make it tu! kuna watu wengine wana kazi nzuri, hawafanyi progress yeyote kny maisha......!
....teheteheteheeeee.....umenikamata hapa naona! Lakini, ninachomaanisha mimi hapa, unapata mtu reasonable, ana elimu yake au alikuwa na kazi kafukuzwa au unaoana naye the mwaka mmoja baadaye anaachishwa kazi ....sasa kama wewe uliangalia zaidi kigezo cha kazi hakiyaanani hakutakuwa na ndoa hapo na tumeyaona haya sana tu!Halafu taluma usiwe muongo. Kwenye thread yako unayotafuta mchumba si umesema awe anafanya kazi au awe mjasiriamali. Kwanini na wewe usichukue jobless halafu ndio mpange maisha.
Coming back to me....cha msingi ninachotaka, kama mke atakuwa na elimu niliyoitaja pale, atakuwa mjanja kidogo ana akili ya maisha, hata kama ni jobless I will take her faster sana....the rest aniachie mimi......!
Unampenda? likiwa zezeta na si majirani zako tutakushangaa ni kitu gani ulichompendea huyo! Yes, kun midume mizima (tunafahamiana) linakaaga tu kugongea misosi kwa washikaji, bia zenyewe linagongeaga tu hata raound hapigi, haonyeshi jitihada za kutafuta mkwanja ...huyu kweli hatakiwi! lakini unashangaa anavimada kibao....sijua hata wanampendea nn!Mwanaume jobless yupo yupo tu anategemea ugali wa nyumbani kwao simpendi hata kidogo.
siwezi kumpenda mtu jinsi alivyo hata kidogo. Nitampenda kutokana na vigezo nilivyojiwekea.
Halafu taluma usiwe muongo. Kwenye thread yako unayotafuta mchumba si umesema awe anafanya kazi au awe mjasiriamali. Kwanini na wewe usichukue jobless halafu ndio mpange maisha.
Mwanaume jobless yupo yupo tu anategemea ugali wa nyumbani kwao simpendi hata kidogo.
Ajabu!
Kama utakubaliana na hilo la kukaa nyumbani na watoto/mtoto mi nitoke nikatafute sawa tu. Lakini sio ndo unaanza kuleta balaa jingine lakuona unadharauliwa baba angu. Kumbuka hapo hakutakuwa na h/girl wala h/boy wakukusaidia.
Husninyo umenikumbusha kaka mmoja niliwahi kutana nae ana miaka 30, kasomeshwa na wazazi hadi chuo, akatafutiwa ajira na baba ake, akafanya kazi miezi kadhaa akaacha, anakula na kulala kwa baba ake, anaendesha gari aliyopewa na baba ake, anawekewa mafuta na mama ake tena kwa siri ili baba asijue manake baba hakubaliani sana na mambo yake.
Anafuliwa nguo na kusafishiwa chumba na house girl wao, akila chakula hawezi hata kunyanyua hicho chombo hapo mezani. Kwa kweli nikasema namhurumia huyo atakae jiita mke wake.
Maty, nini tena mbaya? nimefafanua hapo juu though, nafikiri nilieleweka vibaya!
Sasa LD,
Mbona hawa ma house wife or magoal keeper wanapewa ma H/G na ma-H/B? Yaani mi kwa sababu nipo home ndo nisipewa h/g or h/b? mbona utakuwa unaninyanyasa kijinsia mama? Utajisikiaje (kutoka moyoni), mumeo anarudi jioni, yupo busy na masufuria, mara kitoto kimkojoa anabadilisha nepi, mara sufuria inaungua aikimbilie. mara chooni hakujasafishwa etc etc, utakuwa na peace of mind kweli?