siwezi kumpenda mtu jinsi alivyo hata kidogo. Nitampenda kutokana na vigezo nilivyojiwekea.
Ni kweli lazima kuwe na minimum standards...kama elimu, akili ya mtu, adabu etc....hivi vitakufanya umpende mtu hivyo alivyo...then tatategemea kama mtu huyu ni mjanja hata kama ni jobless, unakuwa na uhakika, kama ana elimu u will make it tu! kuna watu wengine wana kazi nzuri, hawafanyi progress yeyote kny maisha......!
Halafu taluma usiwe muongo. Kwenye thread yako unayotafuta mchumba si umesema awe anafanya kazi au awe mjasiriamali. Kwanini na wewe usichukue jobless halafu ndio mpange maisha.
....teheteheteheeeee.....umenikamata hapa naona! Lakini, ninachomaanisha mimi hapa, unapata mtu reasonable, ana elimu yake au alikuwa na kazi kafukuzwa au unaoana naye the mwaka mmoja baadaye anaachishwa kazi ....sasa kama wewe uliangalia zaidi kigezo cha kazi hakiyaanani hakutakuwa na ndoa hapo na tumeyaona haya sana tu!
Coming back to me....cha msingi ninachotaka, kama mke atakuwa na elimu niliyoitaja pale, atakuwa mjanja kidogo ana akili ya maisha, hata kama ni jobless I will take her faster sana....the rest aniachie mimi......!
Mwanaume jobless yupo yupo tu anategemea ugali wa nyumbani kwao simpendi hata kidogo.
Unampenda? likiwa zezeta na si majirani zako tutakushangaa ni kitu gani ulichompendea huyo! Yes, kun midume mizima (tunafahamiana) linakaaga tu kugongea misosi kwa washikaji, bia zenyewe linagongeaga tu hata raound hapigi, haonyeshi jitihada za kutafuta mkwanja ...huyu kweli hatakiwi! lakini unashangaa anavimada kibao....sijua hata wanampendea nn!