Can You Marry A Jobless Man?

Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari

Maty, jamani mbona nakwenye CV yangu nimeweka ''nakunywa bia'' na kwenda club? nilikuwa nauliza tu kama unakunywa....ulinifurahisha sana ile post mama.....! we ni dai tu Maty.....huwezi jua tukikutana bahati inaweza nidondokea ''refer signature yangu" .

Habari yake Maty bana, Maty hii Id hata mimi kuna wakati nilistuka lakini nikapotezea, ngoja tuisome kwa makini kweli!!!!!!!!!

Maty & LD,

Mnakaribia kuvunja sheria mmoja wapo hapa JF ......!
 
je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!

Aisee Mtego wa noti hapa inabidi niseme ukweli wa moyo wangu, kwa maisha ya sasa hivi kumuoa mwanamke ambaye hajui kujishughulisha hata kidogo haipendezi. Tena kama una mke ambaye yupo tu hafanyi chochote yani akili na nguvu zake havitumii kuzalisha chochote, mmmh msaidie kwa kweli.

Kuna kitu huwaga najiuliza hivi ndo naolewa sina chochote nachoweza kufanya. Naishi yale Maisha ya Baba na hii hakuna chumvi, hakuna kile, naomba hela ya kwenda salon, naomba mchango wa kitchenpart na hiki na kile.

Halafu baada ya miaka mitatu labda nina watoto wawili, halafu Mungu anaamua kumchukua kiumbe wake akapumzike(siombei mume wangu usije ukawa unasoma hapa). Hivi nitafanya nini, hivi nitakwenda wapi. Mmmh wanawake tufanye kazi kwa kweli.
 
je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!
wewe muoaji ndio uangalie kama ni fair au lah. Inawezekana job sio kigezo kwako. Na wewe ukiwa kama kichwa inabidi uwe umejipanga bwana.
Hata hivyo mwanamke ambaye hana kazi au hajaelimika au amezubaa zubaa tu hata hajishughulishi nae ni mzigo kwakweli.
 
Siwezi kuolewa na joblessman otherwise awe ana elimu ya kutosha nitajipa matumaini kuwa atapata kazi.

you mean kazi ya payslip? (kuajiriwa??) ni swali tu!! maana wengine tuna elimu za kutosha sana, tunaonekana hatuna kazi kwa sababu tumejiajiri and we dont disclose/ no one prepares our salary slip.
 

:tape::tape::tape:
 


There you are LD. Kuna sababu nyingi sana za kuwa jobless. Wengine ni mapito tu na huwa yana mwisho hayo. Mungu akikupa hata kama ni jobless anajua atakavyomtumia na ana sababu ya kukupa wewe. Mume anatoka kwa Mungu tu kama ukimuomba kwa imani
 

well said LD,
mtoto wa kichaga utamjua tu!
 
Ajue kuzitafuta na awe smart,.kuna mtu anaeza kuwa na job lakini his mind is just in that box,hafikirii kutoka vingine,yani siku akifukuzwa ndo bas tena..:suspicious:
 
Ajue kuzitafuta na awe smart,.kuna mtu anaeza kuwa na job lakini his mind is just in that box,hafikirii kutoka vingine,yani siku akifukuzwa ndo bas tena..:suspicious:

Are we talking about marriage or building a Rocket...????
 
Are we talking about marriage or building a Rocket...????

I think hukunielewa kaka o dada,what i meant was being jobless sio a big issue but is he smart enough,au kwenye ndoa mtakua mnaangaliana with no food on the table,clothing etc?.i didnt ever mention of sm1 having money enough to build a rocket..au ulitaka niseme am ok with a guy who will just stay at home,do nothing, not thnkin of nythng and i do all that?.na kwenye part ya kufkiria vngne,kwa maisha ya sasa kutegemea mshahara sio vizur,nythn can happen,.so its all about thinking big for the sake of your family's welfare.
 
Am a Kaka thanks.... nimekuelewa sana and building a rocket i meant in terms of smartness, not the money...., the brains..., and my point was is trying not good enough....???

He can be a hard worker, therefore become the muscles behind the project and you can be the brains behind the project.

What i emphasized is smartness is not an essential ingredient so long as you are smart and he can do what you tell him you can work as a team...., after all you are partners...
 
Jobless ndio nini? hana mikono, hakupata kazi au hataki kufanya kazi?

Kama hataki kufanya kazi huyo si mwanamume hafai kuoa wala kuozwa

Kama hakupata kazi atafute afanye kazi yoyote ile..riziki haifuati mtu akiwa amekaa..akijishughilsha inakuja..kwa Muumba
 

Thats not bad my dear,but hata kuweza kufanikisha what you are saying it needs being smart kidogo,.you might give him capital but akamisuse..partnership itaexcell pale ambapo you all know what you are doing,mko focused,hata mtu akiteleza you can easily bring him o her back,.
 
acha uvivu ndio maana nchi inaingia mikataba mibovu wazee hawamalizi kusoma contract agreement yote

Si uvivu zinachosha sana bana contract utasoma si unajua unabenefit kitu fulani bana aaacha hizo
 

Hapo kwenye red umenichekesha na kunimalizia maneno yote daaahhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…