Taluma
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 158
- 2
Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari
Maty, jamani mbona nakwenye CV yangu nimeweka ''nakunywa bia'' na kwenda club? nilikuwa nauliza tu kama unakunywa....ulinifurahisha sana ile post mama.....! we ni dai tu Maty.....huwezi jua tukikutana bahati inaweza nidondokea ''refer signature yangu" .
Habari yake Maty bana, Maty hii Id hata mimi kuna wakati nilistuka lakini nikapotezea, ngoja tuisome kwa makini kweli!!!!!!!!!
Maty & LD,
Mnakaribia kuvunja sheria mmoja wapo hapa JF ......!