National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo “into you ” Tamia feat. Fabulous sijawahi choka masikioni.Bobby Valentino - Never Leave you
Mariah Carey - Always be my baby
Joe - Priceless
Tyrese - One
Keith Sweat - Nobody
Donnel Jones - Your luv
Craig David - Rendezvous
Le Toya - Torn
Marry J Blige - My Everything
Ashanti - Rain on me
Rueben Studdard-Change me
Tamia - So into you
Halafu Remix ya Prof Jay na Jay dee. Ukipigwa hata kesho unasound kama wa jana.Niamini. Prof Jay, Fanani na Bigg Willy
Haukosagi kwenye playlist yangu,Mpenzi [emoji4]
View attachment 2571829
Tena umenikumbusha ngoja nishushe na za taarabu,Sawa.. upo sahihi.
Binafsi TZ nyimbo za Mapenzi ukiniambia nitaje nitagusa Old school vibes only kwa kuzingatia mahadhi mbalimbali kama ifuatavyo
:-
1- Taarbu ( Njiwa peleka salam + subakheroi Mpenzi) + Njenje (Tupendane mpenzi) + (ASU)
2- Bongo fleva (Steve RNB- Ninashindwa ) kwa haraka haraka naon kwang ndio best.
TAARAB kwa kibongo bongo ndio naona safi zaidi ktk swala la mapenzi.
Kwa bongo ukitaja nyimbo kumi bora za Mapenzi Alikiba hakosi, ukitaja tano bora hakosi ukitaja mmoja bora hakosi.Labda kama una definition yako ya kipekee kuhusu nyimbo za mapenzi,
Lakini Alikiba+ Sauti yake anakonga nyoyo zetu ukimkisikia kwenye Utu, Asali, Mahaba, Happy, Mbio
Sophie B Hawkins _ As you lay me downCould i have this kiss forever-Enrique ft mariah carey
Kabisaaa, tumpe sifa zake angali hai sio hadi afe,Kwa bongo ukitaja nyimbo kumi bora za Mapenzi Alikiba hakosi, ukitaja tano bora hakosi ukitaja mmoja bora hakosi.
Hahahaa...Leo ulikuwa lindo gani binti yangu, huu muda?
😂
Nazipenda sn hizi nyimboWritten in Stars- West life
Puzzle of my heart West life
Download hizo nlizotuma hapo juu.Napitia comment,hlf nazidownload. Nyimbo nying ni nzur haswaaaaa yn
Ndo nnachokifanya hpa.Download hizo nlizotuma hapo juu.
Thank me later[emoji3]