Canada kuwahamisha raia wake 45,000 kutoka Lebanon huku Israel ilijiandaa kuingia vitani na Hezbollah

Canada kuwahamisha raia wake 45,000 kutoka Lebanon huku Israel ilijiandaa kuingia vitani na Hezbollah

MAREKANI ANASEMAJE KWANI? ATAPELEKA SILAHA KWA ISRAEL?
Marekani anamuambua Israel hawezi mtupa wako naye sambamba hajui hi si ile vita vya Iraq alisaidiwa na mataifa 42 akadai yeye ndio kampiga Iraq.

Sijui safari hi kama kuna ndege itaruka kutokea Gulf countries, mana Iran kawambia waweke maji kichwani atakaye msaidia Israel na USA
 
Kote kutaharibika, hizbullah siyo Hamas,na wamesema Vita vyao havitfata sheria, meaning piga raia,bomoa makazi Kama zayuni afanyacho gaza
hz kauli bado mnazo mlianza kusema Hamas ile si hii leo mnasena Hizbollah , hamuwajali waislam wenzenu
 
Hezbollah sio hamas ndio nini wote huwa wanajificha nyuma ya raia
Wangejificha nyuma ya raia 2006 Israel wangeweza vuka mto litani,lakini mwezi mzima hawakuvuka mto,wakaanza kuvunja madaraja kwa ndege Kama kawaida yao,Sasa Leo hizbullah ana drones,vunja daraja nivunje lako
 
2006 ndio nini wewe mapigano ya mpakani israel imewapukutisha viongozi wengi wa hezbollah na wanamgambo wa hezbollah 420 wameuawa
 
Back
Top Bottom